thadey makusilo
Member
- Oct 31, 2013
- 46
- 11
Aisee mie kero kubwa ni kupigwa chabo ninapokua nabinuana na mama watoto ndani aiseee....
Yaani inabidi kila baada ya dakika kama tano nikahakikishe dirishani hakuna anayekula show ya bure
Mwambie kistaarabu kwamba sauti ya redio ni kubwa na inakukera..akijifanya kichwa ngumu na wewe subiria muda wake wa kupumzika uweke sauti ya redio juu zaidi ya ile aloweka yeye!
Kero ya nyumba ya kupanga ni ile mama mwenye nyumba anakugongea mlango alfajiri akikuamuru ukasafishe choo.
Hahaha, wengine wanakuambia mwisho wa kuoga ni saa mbili jioni
Na huruhusiwi kupika nyama jumatatu
Juzi kuna gari lilikua limebeba kuku broiler limepata ajali. Mimi nikaokota kuku saba kufika nyumbani nikamgawia mama mwenye nyumba wawili. mpangaji mwenzangu wawili na mimi watatu. baba mwenye nyumba aliposikia nimempa mkewe kuku wawili tena wazima. Aliwaka kama kifuu lakini kuku alikula. huyu mpangaji mwenzangu alihisi mkewe ni mchepuko wangu. alihama kesho yake na vijembe viingi tu. Baba mwenye nyumba haniamini tena.Hahaha, wengine wanakuambia mwisho wa kuoga ni saa mbili jioni
Na huruhusiwi kupika nyama jumatatu
Juzi kuna gari lilikua limebeba kuku broiler limepata ajali. Mimi nikaokota kuku saba kufika nyumbani nikamgawia mama mwenye nyumba wawili. mpangaji mwenzangu wawili na mimi watatu. baba mwenye nyumba aliposikia nimempa mkewe kuku wawili tena wazima. Aliwaka kama kifuu lakini kuku alikula. huyu mpangaji mwenzangu alihisi mkewe ni mchepuko wangu. alihama kesho yake na vijembe viingi tu. Baba mwenye nyumba haniamini tena.