thadey makusilo
Member
- Oct 31, 2013
- 46
- 11
Habarini wanaJF,
Kuna baadhi ya wapangaji wanakosa ustaarabu kabisa na kuwa kero kwa wengine.
Mojawapo ya kero unakuta mpangaji ameweka sauti ya redio juu,kwa kweli mi binafsi nashindwa kuelewa ni ulimbukeni au!!
Hebu tupia kero nyingine ya huko mtaani kwako.!