Aaronium
Senior Member
- Oct 31, 2011
- 129
- 9
Nipo kwenye foleni nyuma a watu km 68 hivi,foleni haiendi,mhudumu yupo mmoja tu,mawakala/vishoka wamejazana pia milangoni,wanatishia hata usalama wa wateja,pamoja na matangazo kila mahali ati epuka vishoka,wapo a kutosha na wanashirikiana na afanyakazi wa TRA kuchukua,wanatoa rushwa ili kuhudumia wateja ao,TAKUKURU mpo?