Kero na ubaya wa Muungano, lawama apewe Mwl Nyerere.

Kero na ubaya wa Muungano, lawama apewe Mwl Nyerere.

matonyamswanu

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2025
Posts
361
Reaction score
429
Tatizo na sababu za kuutaka muungano, ilianzia kwenye maasi ya jeshi wakati huo 19/1/1964.

Jeshi liliasi, na Nyerere akijificha kigamboni kunusuru maisha yake.

Miezi mitatu tu baadae akamshawishi hayati Karume Rais wa Zanzibar wakati huo, waunganishe nchi.

Nyerere aliona atakuwa salama kama jeshi litakuwa moja mpaka visiwani.
Tanganyika haina uzoefu wala historia ya kumwaga damu kutafuta uhuru, tofauti na Zanzibar.

Akawa radhi kuifuta
Tanganyika kwa hofu zake tu. Angekomaa kiume, tusingekuwa na jinamizi hili la kuuwawa ndani ya nchi yetu na wageni toka Zanzibar na majeshi mengine ya kukodi toka uganda nk
 
Tuna muungano wa hovyo sana. Yaani muungano wa changu changu, chako changu.
 
Back
Top Bottom