Kero na karaha ya maisha ya kibachela

Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
9,681
34,389
*unaweza kupika ugali hadi ukaungua lakin usiive
*Unaweza kuacha kupika kisa unaona uvivu kuosha vyombo
*Friji inaweza kugeuka kuwa kabati kila kitu unaweka huko kikombe,sahan, sukari majani ya chai n.k
*Unaweza kuondoka kwenda kazini na remote ya radio ukijua ni simu
*Unaweza kulala mwezi mzima bila kufua wala kubadilisha mashuka

Sent using Gun Trigger
 
Adv & disadvantage.
Hasara
1.geto kugeuka stoo
2.kuzirudia rudia nguo kuvaa bila kufua
3.kufanya usafi geto hadi uwe na mihadi na demu
4.upigaji wa nyeto usiniambie hupigi punyeto endapo wewe ni bachelor
5.
 
*unaweza kupika ugali hadi ukaungua lakin usiive
*Unaweza kuacha kupika kisa unaona uvivu kuosha vyombo
*Friji inaweza kugeuka kuwa kabati kila kitu unaweka huko kikombe,sahan, sukari majani ya chai n.k
*Unaweza kuondoka kwenda kazini na remote ya radio ukijua ni simu
*Unaweza kulala mwezi mzima bila kufua wala kubadilisha mashuka

Sent using Gun Trigger
Mwanaume unajipikilisha pikilisha ili iweje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom