Kero kwa bodi ya bongo movies:

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Naamini utaratibu wa utoaji wa filamu( bongo movies ) unachangia kushusha hadhi na tasnia ya filamu.ukizingatia huu utoaji wa filamu kila siku.unakuta msanii kwaj mwezi anatoa movie 3 . Hii ina2boa sisi wauzaji wa rejareja ambao wengi unakuta ndo wenye mitaji midogo.unajikuta filamu ulizonunu hajaisha baada ya siku 3 wateja hawazitaki,wanataka mpya.Kwa utaratibu huu mnawafaidisha wanaokodisha.mwishowe mnaishia kulaumu. NB:Watazamaji wanashindwa kununua kisa wanazidiwa na wingi wa movie kutoka kwa wakati mmoja sokoki.Mwishowake wanaona bola wakodi.HAYA NI MAONI YA WATUMIAJI NYUMBANI,WATEJA,NA WAUZAJI.Usishangae leo hii movi iliyo na kanumba,Hemedy etc.wanacema "hawa nao movie kila wiki"?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom