Kero kero mtandao wa tigo jamaniiiiii

Dah!nilisahau sh***** sana hawa jamaa, wana tangazo lao lingine la tigo pesa wanalodai "ONGEZA SALIO UPATE MARA MBILI" matokeo yake ukiweka 500,1000 nk wanakupa dakika za bure,what they advertise is typically the opposite to what they are doing

dakika zenyewe ukipewa baada ya 24hrs hazipo si wizi huu

Kwani Kuna Mtandao Mmoja tu???? Wabongo mnapenda vya bureeee!!!! Cheap is Expensive!!

::Wasanii Wanaigiza Kaole CD Sokoni,Kina Dada Wanaigiza Ulokole Miili Buchani:::ONE INCRIDIBLE

yaani zamani nlikua naipenda tigo utadhani kuna hisa nlizokua namiliki. Hata mtu akiisema vibaya ilikua inaniuma sana na mara nyingine najaribu hata kuwatetea. Lakini kwa wanacho nifanyia sasa yaani nyie semeni tu wala siumii na wala siwatetei. Tena hata mimi mwenyewe nimewapa adhabu mana line ya tigo nimeweka kwenye kitochi cha nokia. Na ile simu yangu nyingine nimeweka AIRTEL yaani hakuna matata. Tigo ndo basi tena kwangu imeshakua subsidiary.

So all in all wana jf mean tgo they are f*****k shit on their services,
SASA ITS TIME FOR TTCL to come back as before,
Conquest-MAFUA SIO SIAGI AU BLUE BAND JAMANI HATA KAMA YANAFANANA

Wananiboa hawa jamaa,wangekuwa kuku ningewachinja niwatafune mpaka mifupa

ukitumia line ya tigo kumpigia mtu unalazimishwa kusikiliza tangazo lao la tigo pesa mwanzo hadi mwisho. Upuuzi mtupu

HIVI HAWAJUI KAMA UMEME WA MGAO? SHENZI KABISA UKISIKIZA TANGAZO HAD MWISHO N BATTERY IMEENDA ARIJOJO,AF UTASIKIA NAMBA UNAYOPIGA HAIPATKANI,AGHHHHHRRRRRRR!!!!

Wadau wenzangu mwenye ufahamu anisaidie,nataka kujitoa kabisa katika ile huduma ya ajabu ya milio unapopigiwa nafanyaje kuokoa sh 30 yangu inayoliwa bure kuchangia bahati nasibu ambayo washindi wamepangwa tayari

So all in all wana jf mean tgo they are f*****k shit on their services,

SASA ITS TIME FOR TTCL to come back as before,

Conquest-MAFUA SIO SIAGI AU BLUE BAND JAMANI HATA KAMA YANAFANANA

Bonge la pwenti. Wengi hawajui raha ya TTCL. Malalamiko hayo ya tigo TTCL hutakaa uyasikie.

its true! Ila nashndwa nikimbilie wapi, nkienda Voda namtajirisha Rostam, nkienda air tel huko nako papa mwingine,Msekwa, duuu

Bonge la pwenti. Wengi hawajui raha ya TTCL. Malalamiko hayo ya tigo TTCL hutakaa uyasikie.

nimetumia ttcl kwa miaka miwili! Wako cheap lakin sio wabunifu katika huduma zao....! Laiti kama Ttcl wangeuza line pekee pasipo kuziunganisha na simu zao nadhan kwa sasa nusu ya watu wanaotumia simu wangekuwa wanatumia ttcl! Hiv kwann wasitoe line zinazoweza kutumika kwenye simu nyingine mbali na zile zao? Hapa kuna harufu ya ufisadi...!

TTCL wanafanya vile makusudi ili waendelee kuwafaidisha hawa mafisadi wa voda, tigo, airtel na zain. C unajua mambo yetu yale?
Komaeni vijana na hapa namnukuu JK: "ukitaka kula nawe kubali uliwe, sasa wewe unataka kula tu hlf ww usiliwe."

its true! Ila nashndwa nikimbilie wapi, nkienda Voda namtajirisha Rostam, nkienda air tel huko nako papa mwingine,Msekwa, duuu

Njoo ZANTEL cause is cheap,efficiency,durable please you are most welcome

customer care yao mbovu. nilienda na vitambulisho vyangu na picha kuwaeleza walikosea kuandika jina langu kwenye usajili wao feki wakakataa kubadilisha herufi waliyokosea. natumia line iliyosajiliwa kwa kukosewa jina eti hawabadili mpaka niwe na fomu ya usajili ambayo nilishaipoteza 2years ago. hawaelewi chochote hawa wako tu kama ROBOT ambayo ukiambia fanya hivi itafanya bila kufikiria. kama mtu ana kitambulisho halali na picha wanataka nini zaidi hawa kama siyo ROBOT? Jina langu naitwa Melinda wao waliandika Mlinda. Sijui shule gani walisoma hata kuandika majina ya watu kwa usahihi wanashindwa.

Back
Top Bottom