Kero katika saluni za kiume

Kuna boya mmoja alijifunziaga kwenye kichwa changu asee nilikasilika siku it

Tangu siku iyo ata nikisafir nasubil mpaka napo rudi kwenda kwenye salon moja tu niliyo izoea.

Pili Kuna jamaa alikua ni fundi wangu wa kichwa lakin Kuna siku nikaenda sikujua Kama alikua ametupia monde,tungi Pombe asee alivuruga kwenye kunyoa mpaka kuchonga

Tangu siku iyo sikurud Tena kwake
 
Ninachoshukuru nanyoa style moja tu nywele zote ndogo za kitana size moja, kidevuni ndevu kidogo basi siungi timber nakata nusu sasa hapo sina tatizo na kinyozi natazama tu huduma ya kuoshwa. Nikienda saloon waoshaji wanaongea sana kuliko kazi sirudi tena, kulazimishwa service never mpaka nitake mwenyewe. Now kuna saloon bomba kiti unakuta kinafanya massage huku unaendelea kunyolewa acha tu
 
siku moja nilikuwa sinza nilitafuta kinyozi aninyoe unajua sinza vinyozi ni wengi . lakini kila nikitaka kuingia sehemu ya kunyoa roho inakataa naenda pengine hivyo hivyo mwisho nikamwona kinyozi an kichumba kidogo nikasema nijaribu hapa ndugu zangu huyo kinyozi ni mzuri sijawahi kuona anakutoa vizuri kupita ulivyotaka wewe nimewakuta watu wanatoka kibaha kuja kunyolewa pale hata mimi natoka tegeta namfuata yeye tu . nendeni mkajaribu utakubaliana na mimi. yupo pale sinza unaona msikiti wa palestina geti zinapoingia gari na kuna watu wanauza ndizi simama mlangoni kuna kivuko cha watu vuka nenda upande wa pili wa barabara kuna mti mkubwa hapo hapo anatazamana na msikiti. huyu jamaa nimemvulia kofia kwa kunyoa
 
Nyingene saw!!!ila nmba nne umezingua kuharibika kwa mashine ni dharula wew unakereka na kuitenge unataka unyolewe ikiwa mbovu hivyo hivyo.
 
Napendaga wale toyoz kwenye salon wanaoosha nywele. Hasa wa Sinza. Kushika papuchy ni hiari yako. Ila tu umpe hela ya soda.
 
Daaah we kijana leo umetoa article poa sana kwani tabia #4 me niliwahi kupigwa na Short aisee Shavuni ila niliambuli kunyolewa bure na Pole, Sasa sijui ningezimia ingekuwaje
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ pole mkuu.Hii itakuwa kwa Mtogole
 
Nyingene saw!!!ila nmba nne umezingua kuharibika kwa mashine ni dharula wew unakereka na kuitenge unataka unyolewe ikiwa mbovu hivyo hivyo.
Mkuu mashine mbovu unaiona kabisa...inanguruma vbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…