Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
madai yao eti huko bar ndo kuna madili ya kazi; sijui hayo madili yakiongelewa maofisini huwa hayakamiliki?
i dn't think kama ilikusaidia chochote zaidi ya kumuongezea wigo mwekezaji KUJIVINJARI NA TOTOOZ mbichi mbichi zaidi ako!kwangu ilikuwa ngumu! nilikuwa namfungulia lakini ndio nilikuwa c ulizi cha nini wala nini, kumfungia nje hiyo hapana jamani....
Mbu ni sawa unaweza kumzoea ila inakera pale mida hiyo mibovu umelala yeye anataka kudumisha mila kha...hii ni sipendi yangu
i dn't think kama ilikusaidia chochote zaidi ya kumuongezea wigo mwekezaji KUJIVINJARI NA TOTOOZ mbichi mbichi zaidi ako!
huwa mnakosea APPROACH(a way foward) ninyi watu
MI nishapigia simu dereva akamcheki bibi-harusi wa jumamosi maanake dah!hili baridi la arusha leo sijui itakuwaje tutafia kwenye makreti wengine...Teamo bwana mambo yako...you made my day looh nimepata nguvu ngoja nianze kufungulia radio kusikia hii budgjet....khuuuuuuuuu
Haya endelea kulea huo uozo! kesho utatujia hapa na jingine...but try your side lakini...inategemea tokea enzi za uboyfriend na ugirlfriend ulimtreat vipi??
Mwanaume unatoka kazini au popote katika shughuli zako za kila siku badala upite nyumbani kuijulia hali familia ndio uendelee na mengine unapitia Bar au kwa marafiki zako, Mama /Mpenzi kaandaa chakula kasubili utatokea saa tatu/nne /tano huonekani Wife anaamua kulala . Saa saba /au nane /Tisa mme anaingia kwanza ananuka pombe utampa maji ya kuoga, chakula maybe atakula au atagoma..then anadai unyumba ...
naona unajitafutia talaka sasa!
principle ya ndoa yangu ni:''KILA MTU ANA UFUNGUO WAKE,NI MARUFUKU NA HAIRUHUSIWI MSHIKI KUNIPIGIA SIMU NA KUNIULIZA NIPO WAPI MIDA YA USIKU.......!ninahitaji muda kukaa na marafiki ili nijiongezee wigo wa kutoka ki-maisha..''....lakini mshiki akirudi home zaidi ya saa 12,SHE WILL GO HOME!nauli yake ni sh 200 tu had kwa wazazi wake
i dn't think kama ilikusaidia chochote zaidi ya kumuongezea wigo mwekezaji KUJIVINJARI NA TOTOOZ mbichi mbichi zaidi ako!
huwa mnakosea APPROACH(a way foward) ninyi watu
hehehe!CHIBOKO YA NJIA!kama ni wasanii wa filamu wa kinaijeria basi mimi ni PETER EDOCHIE!NIKO JUU KAMA MIASHOKI,lolumeniacha hoi...wewe kweli chiboko
hehehe!CHIBOKO YA NJIA!kama ni wasanii wa filamu wa kinaijeria basi mimi ni PETER EDOCHIE!NIKO JUU KAMA MIASHOKI,lol
hehehe!alichokifanya ni ''kuku-please wewe'' kwa kufanya BILA WEWE KUJUA!which is7*7-49.tena aliamua kufanya hivyo KWA HESHIMA YA WATOTO AMBAO SASA NDO WANAKUA!otherwise usijihakikishie kuwa YOU HAVE CHANGED HIMilinisaidia tena sana sana tu...mbona alijirekebisha mwenyewe!..c mnapendaga attention mkiiosa mnaumwa.
hehehe!sasa mama hii ni sendoff mi nimekuja mpa kampani mshkaji ndo nisinywe hata valuu tatu?namalizia ya pili naagiza ingine then nasepa:focus:hivi uko kwenye maandalizi ya send off kweli??
yani nikisikia mambo km aya yani napata uoga kabisa wa kitu ndoa......
life z tooooooo shot
nani wa kumkumbusha mwenzie wakakti wote wamekutana?....FL mie nikipika lazima ale, yaani akitaka tulale kwa amani bac ale tu, nachoka jamani, unatoka job upo hoi, unawahi home kupika ili aje akute mambo shwari then likirudi huko licle, hapana ayakula wacha atapike.....ndoa ngumu bwana.
Hivi na sisi wanawake tungekuwa tunawafanyia hivyo ingekuwa vipi eee? Wadau inabidi mrevenge na nyie angalau once unakuja umekunywa kidogo kama saa 9 au kumi usiku, akufungulie mlango then ukishaingia tu ndani unadai haki yako ya mwili watashika adabu zao
naona lile somo la KATIKATI YA MISTARI umeanza kufaulu eeh!leo umepata ''C'':A S tongue:
Na hii foleni ya DSM kweli ni rahisi kupita home ndio utoke tena?! Nway ni mada nzuri sana FL1. CongratsMwanaume unatoka kazini au popote katika shughuli zako za kila siku badala upite nyumbani kuijulia hali familia ndio uendelee na mengine unapitia Bar au kwa marafiki zako,
Wadau inabidi mrevenge na nyie angalau once unakuja umekunywa kidogo kama saa 9 au kumi usiku, akufungulie mlango then ukishaingia tu ndani unadai haki yako ya mwili watashika adabu zao