Kero hii ya abiria kushushwa kwenye mabasi ili wakaguliwe vitambulisho check point ya Vijinga, Wiliya ya Mkinga Mkoa wa Tanga itaisha lini?

Hivi kweli wewa ukiwa Mhamiaji Haramu au una biashara haramu utathubutu kupitia Check Points, hili mbona haliniingii akililini. Kwa ambao wana experience hii adha.

Wako wanaojaribu kupita hapo hapo check point. Mwaka juzi nikiwa kwenye basi la Tahmeed walishushwa wasomali wawili hawakua na papers. Konda akasema walikua wanasafirishwa na msomali mwingine ambaye ndio kazi yake kupitisha wageni haramu. (yeye alikua na papers, lakini naye alishuka "kuwashughulikia" wenzake). Tatizo siku hiyo ofisa wa uhamiaji anayekula deal na huyo msomali hakuwepo kwenye ukaguzi
 
Ni kero lakini tz tuko free mno wageni kuingia.Mfano mpakani mwa kenya na tz ,mtz ukikutwa ndani ya kenya baada ya saa 11 jioni hujavuka lazima ulale gerezani na hawana subira na wewe. Lakini wao na pikipiki zao na magari wanavuka wako tz hadi saa 5 ucku wako baa wanakunywa.

Na km vp anachukua lodge analala na hamna tabu kabisa.Kenya wako strict kwelikweli na omba ucje kamatwa na hao nyang'au halafu we Ni mtz.
Wakenya wapuuzi puuzi tu hasa hao ma karao wao ni so corrupt
 
Naunga mkono ukaguzi,usumbufu ni kunyima watu vitambulisho halafu wanakuja kutaka vitambulisho ziro.....hata sisi waenda kigoma tushazoea ukaguzi,nilifikiri ni kwetu tu,kama na huko basi haki inatendeka waendeele ila askari awe anakagulia ndani ya basi,kama huku kwetu.
 
Mkuu GIRITA nakushukuru sana kwa kunielewa. Tatizo sio kukagua, bali KERO haKa ni kushusha habiria kila siku iendayo kwa Mungu. Kwanini wasikagulie ndani ya Gari? Hicho ndio kinachotukera kutushusha wakati watu tuna stress zetu kibao halafu na wao wanatuongezea stress.
 
Kinachokera Mkuu sio inspection. Kwaanini wasiingie ndani ya bus lazima watushushe kila siku. Hata hivi vi local Hiace.?
Ndy nimesema ukisafiri nje ya inchi utakutana na mengi tu,,hayo mambo ni ya kawaida mkuu,,
Kumbuka hawaangalii uraia peke yake pia wanaangalia chochote cha haramu kwenye bus,,
Kushushwa,,,ni kawaida mkuu,,
Inategemea na hao askari aina ya ukaguzi wao ulivyo...
 
Naunga mkono ukaguzi,usumbufu ni kunyima watu vitambulisho halafu wanakuja kutaka vitambulisho ziro.....hata sisi waenda kigoma tushazoea ukaguzi,nilifikiri ni kwetu tu,kama na huko basi haki inatendeka waendeele ila askari awe anakagulia ndani ya basi,kama huku kwetu.
Mkuu Hii ndio maana yangu hasa lakini Hawa vijana wenye Dhamana wanajidai hawaelewi hapo, Nadhani kwa vile tupo kwenye uchaguzi tunafikishia taarifa Mh. Tundu Lissu na Mh. Benard Membe atutetee.
 
Back
Top Bottom