Like this Mm niiii geooorgeemmm maratoooooo wa iiiiiiiiiiiiiitviiiiiiiiiii
Kuna yule wa taarifa ya michezo khaaaaa ...ana misamiatiii anavuta sauti... nikimsikia tu nahamisha station..jina lake limenitoka sikapendi..nachefukwagaa
Yule wa michezo Mimi ndo simpend kabisa anavyovuta saut,Watangazaj wa TV kuwen natural mbwembwe zingine had zinakera
mimi basi nampenda ile mbaya hasa ikichagiza na maneno ya nyimbo za zamani.
Kuna yule wa taarifa ya michezo khaaaaa ...ana misamiatiii anavuta sauti... nikimsikia tu nahamisha station..jina lake limenitoka sikapendi..nachefukwagaa
Mi ripota anayenikosha kwa mbwembwe zake ni yule Ja te te Njoroge wa Citizen