julaibibi JF-Expert Member Joined Jun 16, 2020 Posts 3,393 Reaction score 4,669 Jun 15, 2026 #21 Seran said: Kitu gani hicho? Click to expand... Au kimpango wako. Any way mim niliua acc toka 2021 ila naona still natumiwa sms niweke kitu.
Seran said: Kitu gani hicho? Click to expand... Au kimpango wako. Any way mim niliua acc toka 2021 ila naona still natumiwa sms niweke kitu.
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 30,200 Reaction score 87,379 Jun 15, 2026 #22 julaibibi said: Au kimpango wako. Any way mim niliua acc toka 2021 ila naona still natumiwa sms niweke kitu. Click to expand... Mimi huwa sifungui kumbe ndio zao! BONGE LA SCREEN! Fanya miamala kwa TemboCard Visa kwenye POS au mtandaoni ujishindie Smart TV kali ya kuchekia FIFA World Cup 2026 kwa hisani ya VISA USIKOSE MKWANJA MWEZI HUU! Ikumbuke akaunti yako upate nafasi ya kujishindia pesa kila wiki, mwezi, au safari ya Ulaya.#BenkiKimpangoWako
julaibibi said: Au kimpango wako. Any way mim niliua acc toka 2021 ila naona still natumiwa sms niweke kitu. Click to expand... Mimi huwa sifungui kumbe ndio zao! BONGE LA SCREEN! Fanya miamala kwa TemboCard Visa kwenye POS au mtandaoni ujishindie Smart TV kali ya kuchekia FIFA World Cup 2026 kwa hisani ya VISA USIKOSE MKWANJA MWEZI HUU! Ikumbuke akaunti yako upate nafasi ya kujishindia pesa kila wiki, mwezi, au safari ya Ulaya.#BenkiKimpangoWako
Candela JF-Expert Member Joined Aug 12, 2021 Posts 925 Reaction score 2,525 Jun 16, 2026 Thread starter #23 Kubwa la Maadui said: Bora hela zangu niweke kwenye shimo hapa shamban lakn sio bank Huko znapita tu kwaajir ya formality Click to expand... Kuna hela ukishakuwa nazo lazima uweke bank.
Kubwa la Maadui said: Bora hela zangu niweke kwenye shimo hapa shamban lakn sio bank Huko znapita tu kwaajir ya formality Click to expand... Kuna hela ukishakuwa nazo lazima uweke bank.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,957 Reaction score 194,011 Jun 16, 2026 #24 Nadhani ni Bank zote... Cc: Mahondaw
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 8,373 Reaction score 14,763 Jun 16, 2026 #25 Candela said: Na alipoomba report wamendika kabisa pale makato ya upuuzi 17000. Click to expand... Ehhh
Candela said: Na alipoomba report wamendika kabisa pale makato ya upuuzi 17000. Click to expand... Ehhh