Kitu gani hicho?Aisee,
Wao watakwambia:
"Kitu KIMESIMAMA.."
Makato ni KERO kila sehemu ,si CRDB peke yake.Guys guys guys, hawa CRDB hawako serious ni wezi aisee.
Nina akaunti nao lakini sina kadi, baada ya kadi yangu kuisha muda siku renewe coz mda mwingi nafanya transfers pekee. Sio mtu wa kwenda ATM.
Cha ajabu kila mwezi wanakata makato ya kadi kutoka kwenye akaunti yangu.
Sielewi kwa kweli maana nachojua kadi ni service unailipia kama unaitumia.
Huu ni utapeli aisee.
Nakumbuka wakati nipo chuo boom nilikuwa napokelea NMB ila watu wa CRDB walikuwa wanapata hela pungufu na tunayopata sisi wa NMB.
Jamaa yangu alipofatilia CRDB akaambiwa kuna makato ambayo hata chuo hawakuyatambua. Na alipoomba report wamendika kabisa pale makato ya upuuzi 17000. Hii bank kuna kitu hakipo sawa.
Hahaha,Kitu gani hicho?
Kitu kimesimama au sio🤣🤣🤣🤣Hahaha,
Hao Crdb hiyo ni Kauli mbiu yao
Duhh mtihani tunao hii nchi!Hahaha,
Hao Crdb hiyo ni Kauli mbiu yao
Kwahiyo hutaki kuchajiwa maintenance fee?Crdb huwa matapeli kitambo sana! Hii iko wazi, nimeacha kutumia li-acc lao nimekuta nna deni -17500 sijui yanini!
Mimi sitaki kwakweli!Kwahiyo hutaki kuchajiwa maintenance fee?
CRDB ni wakuwahama mara Moja mapato Yao ni zaidi ya 50k kwa mweziGuys guys guys, hawa CRDB hawako serious ni wezi aisee.
Nina akaunti nao lakini sina kadi, baada ya kadi yangu kuisha muda siku renewe coz mda mwingi nafanya transfers pekee. Sio mtu wa kwenda ATM.
Cha ajabu kila mwezi wanakata makato ya kadi kutoka kwenye akaunti yangu.
Sielewi kwa kweli maana nachojua kadi ni service unailipia kama unaitumia.
Huu ni utapeli aisee.
Nakumbuka wakati nipo chuo boom nilikuwa napokelea NMB ila watu wa CRDB walikuwa wanapata hela pungufu na tunayopata sisi wa NMB.
Jamaa yangu alipofatilia CRDB akaambiwa kuna makato ambayo hata chuo hawakuyatambua. Na alipoomba report wamendika kabisa pale makato ya upuuzi 17000. Hii bank kuna kitu hakipo sawa.
Fee ya nini wakati pesa inafanyiwa biashara?CRDD ni wezi wanaoutumia kitu kinaitwa makato kutengeneza faida na siyo biashara.Mfano kukata elfu ishirini kila mwaka kwa matumizi ya visa card wakati wao ndiyo wameingia mkataba na visa.Kwahiyo hutaki kuchajiwa maintenance fee?
Tutawadindishia........halafu tuwachape nao......Aisee,
Wao watakwambia:
"Kitu KIMESIMAMA.."