kashata JF-Expert Member Joined Apr 19, 2012 Posts 533 Reaction score 553 Jul 5, 2013 #1 wakuu kepeskic ant virus yangu ime exspire naomba mwenye code namba zake anitumie ili niapdate ya kwangu
wakuu kepeskic ant virus yangu ime exspire naomba mwenye code namba zake anitumie ili niapdate ya kwangu
utakuja JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 1,067 Reaction score 1,037 Jul 5, 2013 #2 Aifanyi kazi hivyo labda ukanunue nyingine uweke izo code utazokuta kwenye voucher
Ndebile JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 8,246 Reaction score 12,797 Jul 5, 2013 #3 Ningekupa avast internet security 8.x.x... Pamoja na activation key yake yenye siku 300 lakini unaonekana shida yako ni 'kepeskic ant virus'
Ningekupa avast internet security 8.x.x... Pamoja na activation key yake yenye siku 300 lakini unaonekana shida yako ni 'kepeskic ant virus'
Williedm JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 505 Reaction score 139 Jul 6, 2013 #4 Kepeskic ant virus ndo nn tena? Au kaspersky
Mbrazili JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 649 Reaction score 90 Jul 6, 2013 #5 Williedm said: Kepeskic ant virus ndo nn tena? Au kaspersky Click to expand... Hahahaaaaa
Mbrazili JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 649 Reaction score 90 Jul 6, 2013 #6 Ndebile said: Ningekupa avast internet security 8.x.x... Pamoja na activation key yake yenye siku 300 lakini unaonekana shida yako ni 'kepeskic ant virus' Click to expand... Nipatie mimi mkuu nna shida na antivirus sana....natumia kaspersky ya trial na imebaki 8 days
Ndebile said: Ningekupa avast internet security 8.x.x... Pamoja na activation key yake yenye siku 300 lakini unaonekana shida yako ni 'kepeskic ant virus' Click to expand... Nipatie mimi mkuu nna shida na antivirus sana....natumia kaspersky ya trial na imebaki 8 days
Brodre JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,587 Reaction score 1,858 Jul 6, 2013 #7 Hahaha nimeipenda iyo ant virus niazime mkuu.. Btw tafuta zipo nyingi tu torrent...japo kua ni illegal lakini
Hahaha nimeipenda iyo ant virus niazime mkuu.. Btw tafuta zipo nyingi tu torrent...japo kua ni illegal lakini
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Jul 6, 2013 #8 Mie nna kempinsk antivirus. Nikugee? Dreson3 said: Hahaha nimeipenda iyo ant virus niazime mkuu.. Btw tafuta zipo nyingi tu torrent...japo kua ni illegal lakini Click to expand...
Mie nna kempinsk antivirus. Nikugee? Dreson3 said: Hahaha nimeipenda iyo ant virus niazime mkuu.. Btw tafuta zipo nyingi tu torrent...japo kua ni illegal lakini Click to expand...