Nimekumbuka Kuna RPC Mbeya alikuwa nadhani anaitwa Samwel Enerst miaka ya 2000 alikuwa kiboko kwa kukamata Majambazi na wahuni wa nondo. Alihamishwa haraka sana baada ya kukamata mizigo ya wakubwa.
...Kwa kweli Kamand a Kenyela nni mtu safi kwa mtazamo wangu... tangu alipokuwa pale kisutu akiwa mwendesha mashitaka mkuu.. alifanya vizuri..ninasikitika iwapo kweli watamuondoa