Rpc wa kinondoni kapigwa chini kapelekwa makao makuu kusoma magazeti...wambura ndo anakuja kuwa rpc kinondoni ...kazi ipo..
Hakutaka kushiriki mipango miovu ya magamba,ya kutaka kuwabambikia kesi za ugaidi,raia wema wasio na hatia!Amefanya kosa gani?