Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,833
- 41,128
Mamilion ya hela za benki za nje
ukizijua siasa za dunia wala huwezi umiza kichwa kwa mambo madogo, shida yako unasumbuliwa na ufahamu mdogoKumeshakucha yapata masaa 8 sasa.
Achilia shuka hilo mkuu halikusaidii tena.
ukizijua siasa za dunia wala huwezi umiza kichwa kwa mambo madogo, shida yako unasumbuliwa na ufahamu mdogo
Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Mimi sioni kama rais kenyatta kukutana na rais Biden ni jambo la kuimiza vichwa vya watanzania ama kufikia mahali pa kujipima na kujiwekee alama ya kwamba sisi tuko chini sana ama tusiotambulika vingine tuwe tumekosa kabisa mambo ya kimsingi ya sisi kujilinganisha naWenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Hamza aliporwa milion 400 na madini yake na hawakujali wakaishia kumwita Gaidi, Moses Lejenje na LT Urio wamepotezwa kwa mateso ya mahita kuwafunga pingu saa 24 bila kula kuwalazimisha waseme ugaidi hewa feki, Polisiccm mungu anawaona.Hizi siyo siasa:
View attachment 1975277
Huu ni uhalifu ambao angalau Hamza alikuwa na sababu.
Hawa si almighty hata wakifungiwa milango tu, ni faraja mno kwa wapenda haki.
Msingi bora ni kuheshimu haki za binadamu tu, kuwabambikia kesi wapinzani kuwatumia Polisiccm akina mahita kuwatesa watu kwa visingizio vya Ugaidi hewa ni uonevu wa kiwango cha kutisha sanaMimi sioni kama rais kenyatta kukutana na rais Biden ni jambo la kuimiza vichwa vya watanzania ama kufikia mahali pa kujipima na kujiwekee alama ya kwamba sisi tuko chini sana ama tusiotambulika vingine tuwe tumekosa kabisa mambo ya kimsingi ya sisi kujilinganisha na
Kenya
Nasema hivyo kwa sababu nchi za afrika kimahesabu ni nyingi mno nq zikiwa marais wakongwe na wenye uzoefu kwenye tasisi ya urais kumzidi hata rais wetu Tanzania kwani kwenye hizo nchi wapo marais waliokaa madarakani muda mrefu sana kumpita rais wa Tanzania na kumpita hata rais wa kenya
pamoja na kukaa kwao muda mrefu na ukongwe wao kwenye tasisi ya urais kwenye nchi zao lakkni hata wao hawajapata nafasi ya kukutana na rais Bideni na pamoja na hivyo pia haiwafanyi wao ama nchj zao kuwa pengine hazina maana kama vile habari hii inavyotupelekea kufikiri
ama hebu mtoa mada fikiri ni nchi ngapi basi ktk Afrika zilizooata nafasi ya kushirikiana na Biden?
ama tuseme basi ktk nchi za Afrika kenya pekee ndiyo bora sana?
hata rais SSH ni bora sana kwetu sisi watanzania naomba tuamini hivyo.
Mkuu ogopa sana Zawadi za kigiriki. Watanzania tuanze kupendana. Hii ndo changamoto kubwa sana. Kuona vya wenzenu vizuri. Mwanamke wa Tz. Ukimwambia mi mcongo. Mkenya. Mzambia. Mnaigeria Nk. Unakula kirahisi. Na unakuta baadhi wabebeshwa madawa nk.
Stop feeling inferior. Mzungu hawezi kukuita wewe kwa faida yako. Hapo Kuna Target. Tumieni upendo na akili kuwaza. Tanzania kwanza. Maisha yetu huwezi fananisha na wengi tu Africa. Maneno mengi Lakini kimyakimya tunakula bata sana Tz.
Mimi sioni kama rais kenyatta kukutana na rais Biden ni jambo la kuimiza vichwa vya watanzania ama kufikia mahali pa kujipima na kujiwekee alama ya kwamba sisi tuko chini sana ama tusiotambulika vingine tuwe tumekosa kabisa mambo ya kimsingi ya sisi kujilinganisha na
Kenya
Nasema hivyo kwa sababu nchi za afrika kimahesabu ni nyingi mno nq zikiwa marais wakongwe na wenye uzoefu kwenye tasisi ya urais kumzidi hata rais wetu Tanzania kwani kwenye hizo nchi wapo marais waliokaa madarakani muda mrefu sana kumpita rais wa Tanzania na kumpita hata rais wa kenya
pamoja na kukaa kwao muda mrefu na ukongwe wao kwenye tasisi ya urais kwenye nchi zao lakkni hata wao hawajapata nafasi ya kukutana na rais Bideni na pamoja na hivyo pia haiwafanyi wao ama nchj zao kuwa pengine hazina maana kama vile habari hii inavyotupelekea kufikiri
ama hebu mtoa mada fikiri ni nchi ngapi basi ktk Afrika zilizooata nafasi ya kushirikiana na Biden?
ama tuseme basi ktk nchi za Afrika kenya pekee ndiyo bora sana?
hata rais SSH ni bora sana kwetu sisi watanzania naomba tuamini hivyo.
Grow Up..Kwa hiyo unampongeza beberu kwa kutomwalika kwa sababu kawapunguzia mzigo?
Kwa kweli 😁😁.
Mzungu ndio nani wewe ?Hayo yako. Ukiuwa watu na mzungu akikusiliba hatukuachi.
Mbona Nyerere tunamuenzi?
Kumbukizi: Nani kama Nyerere (RIP)?
Mwambieni huyo Maza kwa tabia hizi, hata mzungu hamtaki!
Ni ngumu kuona hivyo?
Mzungu ndio nani wewe ?
Binadamu ambaye unadhani anahitaji uwepo wa Haki za binadamu kwenye nchi yako ?Binadamu kama wewe. Ulihitaji mbuzi?
Binadamu ambaye unadhani anahitaji uwepo wa Haki za binadamu kwenye nchi yako ?
Nenda na wewe mzee tatizo liko wapi?Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Jobu swali hanithi weye siyo kuwa mnatuletea mijadala isiyo na tija humu kila kukicha,kaolewe kenya basiUngemwuliza Hangaya akwambie kama anakubaliana nawe kwenye huu ushujaa wako mfinyu!
Kaa kimya huna hoja pimbi weweKujifariji uko vizuri. Komaa hapo hapo.
Lakini mwulize Hangaya akupe mrejesho.
Kwani JK alipelekwa NY kufanya nini pembezoni mwa UNGA?
Na mimi nimeuliza tu. Mbona unapaniki?hapa nimepinga?
nimeuliza faida za raisi kualikwa white house?