Kenyatta kaalikwa White House, Tanzania tunakwama wapi ?

..Uhuru Kenyatta amemshauri Maza akae ktk meza ya maridhiano na vyama vya siasa lakini ushauri wake umepuuzwa.

..sasa sijui Uhuru akiulizwa na Wamarekani kuhusu hali ya kisiasa na kidemokrasia Tz atatoa maelezo gani.
Atasema fresh tu kwakuwa maza kamuhakikishia ishu zake kwenda poa
 
Tatizo hakili zenu visoda hadi mwambiwe ndo mtambueng nin kuhusu nin , nin usichokijua kuhusu Marekani ok let say hakili huna kabisa ya kufikilisha ubongo maana sio kwa hayo mawazo
Ndiyo Hangaya alivyokwambia?

Alipoonana Guterres kama formality iliyomhusu kila mjumbe UNGA akiwamo hata mtwaleban hiyo ikawa habari kubwa?

Tulipo leo na kina Burundi na Uganda tuchekane kwa lipimuambie
 
Hata Savimbi aliwahi kualikwa huko

1634364777232.png
 
Tatizo hakili zenu visoda hadi mwambiwe ndo mtambueng nin kuhusu nin , nin usichokijua kuhusu Marekani ok let say hakili huna kabisa ya kufikilisha ubongo maana sio kwa hayo mawazo

"Hakili" sina, ila "akili" ninazo 😁😁
 
Nami nina swali juu ya swali lako.

Kati ya Royal Tour na State Presidential Invitation unadhani upi una nguvu kiuchumi?.
royal tour ina nguvu zaidi na sababu ni hizi:

-itatangaza vivutio vyetu, hivyo kuvutia utalii ambao utakuza uchumi wa mtu mmoja mmoja
-itawavutia wawekezaji kwenye sekta za utalii na kilimo
-n.k n.k

hasara za raisi wa nchi kukaribishwa white house
-amerika hana rafiki asiye na maslahi naye, hivyo kuna uwezekano mkubwa wa raisi wenu kuwa compromised kwenye rasilimali muhimu kwa faida yake binafsi maana amerika hanaga win-win situation
 
royal tour ina nguvu zaidi na sababu ni hizi:

-itatangaza vivutio vyetu, hivyo kuvutia utalii ambao utakuza uchumi wa mtu mmoja mmoja
-itawavutia wawekezaji kwenye sekta za utalii na kilimo
-n.k n.k
hasara za raisi wa nchi kukaribishwa white house- amerika hana rafiki asiye na maslahi naye, hivyo kuna uwezekano mkubwa wa raisi wenu kuwa compromised kwenye rasilimali muhimu kwa faida yake binafsi maana amerika hanaga win-win situation
Unadhani Amerika akikuita white gouse akitaka kitu kwako na ukamnyima atakubembeleza?.

Issue ya loyal tour vile hujui tu zile ni royal business ambazo out of door you can't catch anything!.
 
Unadhani Amerika akikuita white gouse akitaka kitu kwako na ukamnyima atakubembeleza?.
ubabe upo lakini si kama unavyofikiri

si rahisi kwa dunia ya sasa kuivamia nchi flani na kuchukua maliasili zake

kinachofanyika, anaitwa mkuu wa nchi anakua compromised

halafu mali inachukuliwa kwa kutumia mikataba mibovu ambayo itapitishwa na bunge kwa influence ya raisi.
 
Issue ya loyal tour vile hujui tu zile ni royal business ambazo out of door you can't catch anything!
-faida kubwa ya loyal tour ni kwamba nchi ndio itanufaika na si samia as a person

-ni tofauti na hiyo ya kuitwa kwenye vyumba vya white house ambapo mnufaika anakua ni yule aliyeitwa na sio nchi

-na hii ni kwasababu ya nature ya taifa la marekani, hawanaga win-win stuations na nchi za afrika.
 
Unaongelea kuliko na makazi ya kudumu na waongoza malaika?

Osama pamoja na ahadi ya bikra 7 wakimsubiri bado alipachelea huko
Kwa hivo, kuna sababu yoyote ya kupapatikia kukaribishwa kwa Kenyata na kutokaribishwa kwa Samia??!!
 
Kwa hivo, kuna sababu yoyote ya kupapatikia kukaribishwa kwa Kenyata na kutokaribishwa kwa Samia??!!

Akili zenu fupi sana. Huoni umuhimu wa kutenda haki tu nyumbani, hata kufungiwa milango ugenini?!

Mtakuwa mmerogwa. Siyo bure!
 
Back
Top Bottom