Kenyatta atumia picha ya jeshi la uganda kuisifia kdf!

1academ

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
2,190
3,196
Jamani haka katabia kalitoka wapi?
FB_IMG_1489663454733.jpg
 
wapi kasifia kdf au mimi ndio sijui kusoma....last time I checked ata ug wako Somali.
Jmanai hamjui kuwa watanzania kuna ka ugonjwa maalufu sana tulikuwa tuna kaita
miaka hiyo kwenye shule ya upili hasa wakati wa mtihani wa History , Jina lake
kaliitwa "Language barrier" .
 
Pia mimi nimetafuta wapi KDF imesifiwa hapo, maana huu ni ujumbe wa kuhamasisha jamii isimame na wanaume na wanawake wanaopigana Uganda.
 
Wawe KDF or UPDF soldiers, what does it matter? Si wote wako huko kama AMISOM, fighting to restore stability in Somalia.

Nitpickers alert!
 
Yeah Hoshea, that's RFK mwenyewe.
Anyway, I realy hope the TBC management isnt going to follow thru their decision to sack those guys. Looking at fake Fox News website, anybody could have been fooled by it.
 
Back
Top Bottom