Hivi tume imeundwa upya?Do you Think Mr Agwambo Raila atashinda urais after Ile TUME kuundwa upya ? Mi iko nauliza Tu na ntashukuru if nitapewa answers.
No, Geza. No. Dont be so naive.Mkipiga bila ukabila RAO anashinda!
Geza alikuwa sahihiNo, Geza. No. Dont be so naive.
As long as you are identified as the leader of a certain supposedly suppressed ethnic, class or religious group (or worse) if u style yourself as one, it then becomes really difficult to muster countrywide support for the top seat, for the other ethnic, class or religious groups will fear u and wouldnt trust your intentions.
That is Mr. Raila's biggest political blunder that will prevent him from ever ascending to the top seat in the land.
MOTOCHINI, unafikiri huyu Raila Odinga na Musalia Mudavadi sio wakabila? Ya kwamba ukabila umekithiri tu ndani ya jamii za central na rift valley?
Unaijua treni wewe
Kuna kitu kinaitwa mabehewa nq kichwa(injini)
Hivyo injini ikienda hovyo nayo mabehewa hufuata
Serikali ndio kinara cha ukabila
Unadhani hao watawaliwa hawata kuwa na ukabila?
Nshu kubwa hapo ni je Raila ataingia ikulu kwa tume ya uchaguzi kubadilishwa?
Jibu ni hapana
Kenya tatizo sio tume tu
Tume ya uchaguzi haipigi kura, sisi Wakenya ndio wenye kura. Kila mmoja wa viongozi atajinadi kwetu. Jukumu letu ni kuamuka asubuhi na mapema na kwenda na kutenda haki yetu ya msingi. Tume huru itakua na jukumu la kuhesabu kura.
Binafsi hapa nitakua nadanganya nikisema fulani ataibuka mshindi, maana kura yangu ni moja tu, ilhali waliojiandikisha kupiga kura ni mamilioni ya Wakenya.
You beat me to that argument MK254Kura zikipigwa kikabila, Raila hata anaweza kuibuka mshindi, yaani akiweza kushawishi hayo makabilia. Kwa mfano akifaulu kupokea uungwaji mkono kutokea kwa mkoa wa Magharibi, wampigie kura wote, hapo atakua amepiga hatua kubwa sana. Sasa tatizo linakua hapo, kuwashawishi wote wampigie yeye pekee bila kuchakachua ni jambo gumu.
Jamii ya watu wanaotokea Magharibi mwa Kenya ina wapiga kura wengi sana, ni kama tu vile Wasukuma wa Tanzania waliompigia Magufuli kura kwa mamilioni, nakumbuka jinsi alikua akitafuta kura kwao kwa kuongea ongea Kisukuma huko kwao japo yeye mwenyewe ametokea kwa kabila fulani hapo jirani.
Unaijua treni wewe
Kuna kitu kinaitwa mabehewa nq kichwa(injini)
Hivyo injini ikienda hovyo nayo mabehewa hufuata
Serikali ndio kinara cha ukabila
Unadhani hao watawaliwa hawata kuwa na ukabila?
Nshu kubwa hapo ni je Raila ataingia ikulu kwa tume ya uchaguzi kubadilishwa?
Jibu ni hapana
Kenya tatizo sio tume tu
I dont like this. And what then would the other emergent political parties not represented in this new electoral commisison think? It should be totally independent from influence by any political groups.Ile tume wameweka pembeni wanaelekea kuunda tume huru itakayokua na members from CORD na jubilee.
Kales wa ki shift loyalty Jubilee itakuwa in precarious footing. Ruto is King maker.Before it seemed to be so obvious,but now no one can say who will win...and it is too early to even get to such a conversation,because both leaders are okay in the eyes of many,a 50/50 thing. So personally am more concerned with 2022. This is just a race to quench both of the leaders thirst
Which Ruto? I think the political clout of that Ruto who is the Kenya's deputy president is waning. There is this other Ruto who is the governor of Bomet who is proving to have the capability to command the support of a sizeable number of his pipo to support either of the political camps.Kales wa ki shift loyalty Jubilee itakuwa in precarious footing. Ruto is the King maker.