Kenyan woman caught stealing paraded on the streets in Dar es Salaam

Wow.............this is a new low from our Tanzanian brothers. Halafu wakifanyiwa unyama kule Afrika Kusini ni wao wa kwanza kulalamika.
 
Wangemgaragaza chini na bango lake atie akili.

Mwizi anatembea majestically hivyo wanamtazama tu ilhali wezi wa kibongo wanachakazagwa.
 
Angekuwa mbongo wangeshamchoma ila kwa kuwa ni jirani wamemuonea huruma sana....waweza kuta hata sio mkeii!

Angekua mbongo ameiba Kenya angekua police station na hatungepiga picha zake tukionyesha ulimwengu kwamba wabongo ni wezi. Hiyo ndio ustaarabu
 
Hii ni kinyume kabisa na sheria za nchi, hapo amehukumiwa kabla hata ya kufikishwa mahakamani. Haijalishi ni raia wa nchi gani lakini kitendo hicho ni kinyume na sheria, kuchukua sheria mkononi. What if amesingiziwa?
 
Back
Top Bottom