Kenyan Soldier (Ph.D holder) Working for US Billionaire Elon Musk

Watanzania huwa mnachekesha, kwenye taarifa yote hiyo mumeshikilia moja tu hilo la viatu, inawezekana kuwa kweli maana amemaliza kidato cha nne 2006, hapo ukombozi wa pili kwenye nchi yetu ulikua bado mchanga, hivyo ina maana aliishi kipindi cha udhalimu kama wa CCM huko kwenu.
Kuwa na adabu wewe, 2006 hana viatu huo ni uzembe.
2006 nna wake watano wanakula,kunywa na kulala bila maswali.na nduguyo hana hata viatu.
 
Ni Lini mimi nilikuja hapa kumsifia intellectual wetu yeyote kama wewe ulivyokuja hapa kumsifia huyo korokoroni wako ??!!--- huoni hata aibu katika post yako #20 ulipoandika:-

"Muhimu sana watu wakasoma hii in 2019 he cleared his Phd in Astrophysics being the only soldier in the US millitary to have it. He is currently pursuing another Phd in atomic physics".

Eti, "being the only soldier in the US military to have it", currently pursuing another phd in atomic Physics!!!.---- after is done with the atomic physics Phd what job is he going to do??? Maybe he will be a dish washer in the military officers mess, and you will come here cherishing him for the job saying;
"having the Phd in Astro & atomic physics, he is the only soldier in the entire world to undertake the job". 🤣

Being the only------.

Aah! Wapi mbona mlitujazia mapicha ya profesa wenu akinywa kikombe cha babu Madagascar, ujuha na ulimbukweni wa ajabu, juzi pia mumetujazia mapicha ya mawaziri wenu wakinywa maji ya tangawizi eti wamegundua dawa ya corona....hehehe nyie watu kituko mpaka raha...eti hao ndio wasomi wenu.
 
Kwani kuna dawa ya Corona so far zaidi ya Tangawizi nk,??.

Muulize Jeff koinange aliposhikwa na Covid alitumia dawa gani!!?

Kenya kuna academic institutions nyingi sana mwambie huyo Phd holder wenu aache kazi ya gate keeping na aende kufundisha.

Screenshot_20210308-071213.png
 
Kwani kuna dawa ya Corona so far zaidi ya Tangawizi nk,??.

Muulize Jeff koinange aliposhikwa na Covid alitumia dawa gani!!?

Kenya kuna academic institutions nyingi sana mwambie huyo Phd holder wenu aache kazi ya gate keeping na aende kufundisha.

View attachment 1719916

Si nyie hapo kwa mlivyo majuha wasomi wenu na maprofesa akiwemo huyo ambaye huwa mnamuita jalalani mlishabikia matangawizi ya Madagascar eti ndio dawa, halafu mawaziri wenu wakanywa vikombe mbele ya runinga eti wamevumbua dawa....hivi karibuni watalii badala ya kuja kutazama nyumbu watakua wanakuja kuwatazama nyie kwa mlivyokua vituko vya dunia.
 
Huyo prof, sio sisi tuliyemuita wa jalalani ni yeye mwenyewe ndiye aliyesema kaokotwa jalalani, don't you see the difference wewe zwazwa??.---- hata akinywa hiyo dawa wether it is a medicine or not we don't care!!.

We care pale mnapokuja humu na kutamba eti mkenya pekee katika America yote mwenye Phd ya Astrophysics katika jeshi la America kawa Korokoroni wa Elon Musk, wewe kwa uzwazwa wako unaona fahari kwa hiyo humiliation kwa huyo nduguyo mkenya!!!

Unatakiwa ujitambue kabla ya kuleta upupu wako humu ndani.
 
Sasa wote ndivyo walivyo, wa jalalani maana wameshindwa kutumia ubongo na niliona taarifa sehemu wanapukutika sana hao maprofesa, wanapotosha mara kikombe mara tangawizi...kituko cha dunia.
Naona wanavyozidi kuwa kituko Maelezo ya Profesa Mgaya kuhusu chanjo yanaleta maswali mengi kuhusu elimu yetu

Wasomi wa Tanzania DC Muro akataza Barakoa, Sanitizer ampongeza Rais Magufuli kuzuia chanjo
 
"Huyo wa jalalani" ndiye aliyekuja huko Kenya katika uzinduzi wa BBI report na akawapeni Lecture ya ubaya wa ukabila na uzuri wa utangamano miongoni mwa makabila yenu huko kwenu na mkamshukuru na kupenda sana hotuba ya huyo prof, wa jalalani.

Jalala lilikuja kuwafundisha ubinadamu, kama jalala linaweza kuwafundisha good morals je nyie ni nani???, obvious you are worse than jalala,🤣

Mzee jomokenyatta wakati fulani alipokuwa huko Kisumu alimwambia Jaramogi Odinga ; shukrani ya punda ni mateke.

Screenshot_20210308-151401.png
 
View attachment 1720179

Kwa hivyo akiwa kwetu anapata uhuru wa kutumia ubongo, ila akishavuka mpaka na kurudi kwenu anakua zezeta kama wengine, itabidi utafiti ufanywe kuna nini kwenu huko, aidha hewa mnayopumua au ubwabwa mnaokula, kuna kitu husababaisha mgande kabisa kwenye matumizi ya ubongo.
 
Sitashangaa nikisikia Jeshi la Kenya likifanya sherehe baada ya MMAREKANI mwenye asili ya Kenya kufanya kazi kwa Elon!! Hii mijamaa ilivyo mazwazwa ilijipa break baada ya Obama kuchaguliwa kuwa rais!! Na Obama kwa ushenzi tu, akamaliza muhula wa kwanza bila kwenda Kenya kama ujumbe kwamba "acheni kujipendekeza"
 
Kwa hivyo akiwa kwetu anapata uhuru wa kutumia ubongo, ila akishavuka mpaka na kurudi kwenu anakua zezeta kama wengine, itabidi utafiti ufanywe kuna nini kwenu huko, aidha hewa mnayopumua au ubwabwa mnaokula, kuna kitu husababaisha mgande kabisa kwenye matumizi ya ubongo.

Hali ya hewa, maji na Mazingira ya kibera yanaweza kuwa sawa na hali ya hewa, maji na mazingira ya Tz??., chakula kipi unachozungumzia, kwani nyie mnachakula gani??!, karibu sehemu kubwa ya chakula chenu chatoka Tz au wajifanya zwazwa kutojua??!, ama Kweli "mla kunde husahau bali mtupa maganda".

"Jalala" limewafundisha utu (humanity) that implies in case of humanity you are worse than Jalala na ndio maana hata huyo phd holder wenu mnayejivunia amekimbia Kenya kwenda US kuwa korokoroni kwani ukabila wenu umemforce akimbie.
 
Kuna kasoro huko inayoathiri ubongo, haiwezekani maprofesa watu "waliosoma" ndio waongoze kupotosha kwa kufuata vikombe maji tangawizi eti ndio dawa ya corona, na wengine kunywa maji ya limau kwenye TV kabisa ati wamegundua dawa, halaafu mazombi mnawafuataa na kuwaskliza...hehehe nilisema watalii inapaswa wawe wakija kuwatazama nyie watu.
 
Wakenya bana kwa masifa.kwahiyo mnataka na sisi tuweke matangazo ya watanzania wanaofanya kazi marekani? Na warwanda waweke na waganda waweke. Hii kwangu naona siyo habari kabisaa aisee
Hawa wako kama wale Wa Tigray Wa hapa kwetu. Kuna muda waliweka Dada zao wapo kwenye game ya neurons surgery na tena wanasema kuwa wanatokea sijui wapi huko hata nimepasahau
 
Kuna kasoro huko inayoathiri ubongo, haiwezekani maprofesa watu "waliosoma" ndio waongoze kupotosha kwa kufuata vikombe maji tangawizi eti ndio dawa ya corona, na wengine kunywa maji ya limau kwenye TV kabisa ati wamegundua dawa, halaafu mazombi mnawafuataa na kuwaskliza...hehehe nilisema watalii inapaswa wawe wakija kuwatazama nyie watu.

Hata Jeff koinange aliwaiga hao "Mazombies" kwa yeye naye kunywa Tangawizi na limao pale alipougua Corona inaonekana hawa Mazombie wa Tz wana akili nyingi kuliko Academicians wa Kenya.

Kama "Zombie" anazo akili za kuigwa basi your academicians and intellectuals are worse than the Zombies.

Nikija kutalii Kenya nitakwenda Kibera na kuona ukabila wenu uliosababisha the Phd holder kukimbia Kenya and end up in the US securing gate keeping job ili japo apate chapaa.
 
Yenu ni zaidi ya uzombi maana sikutegemea maprofesa waongoze nchi kwenye ujuha kama huo, ati mumegundua dawa ya corona na upo radhi kuonekana kwenye runinga ukinywa maji ya tangawizi...hehehehe
 
Nilikuwa sijui kama najadiliana na idiot, wewe hujui kuwa tangawizi ni anti viral na pia antibacterial???!!, Covid ina stage 3, katika stage ya kwanza na ya pili unaweza kuiangamiza kwa kutumia anti virals kama Tangawizi, Camphor (Vaporub), Mafuta ya karafuu nk, spikes za Corona Virus ni protein ambayo ikikutana na hizo antivirals huyeyushwa (dissolved) na hivyo huyo virus huangamia, katika stage ya 3 ni ngumu sana kuangamiza huyo virus sababu anakuwa kisha jichimbia ndani ya mapafu katika hali hiyo ni ngumu kuingiza hizo dawa ndani ya mapafu, kwahiyo Tangawizi in any form at preliminary stage while mixed with other antivirals can cure Covid 19 na ndiyo maana huyo Mkenya mwenzako alipona Covid 19 kwa kutumia Concoction yenye tangawizi, itakuwa ni UJUHA KALULU kubeza na kukejeli jambo lenye ukweli kisa tu sababu Maprof wa Tz wameshadidia kwamba Tangawizi iliyochanganywa na dawa zingine katika hatua za awali za Covid inaweza kutibu.

Njoo na hoja nyingine na sio hiyo ya Tangawizi iliyomponyesha nduguyo Covid.

Mwambieni huyo Phd holder wenu arudi Kenya na aache kazi ya ukororokoroni kwani kazi hiyo itaua TALANTA yake ya Astrophysics, na kwa upumbavu wenu mnamshabikia.
 
Tangawizi ingekua dawa ya corona kama mlivyopotshwa taifa lote na hao maprofesa uchwara wenu hamngekua mnapukutika kizembe, ifikie hatua muanze kutumia ubongo na kuacha kuwa kama mazwazwa....hehehe hadi raha.
 
Labda aje mbuzi akufundishe ndio kwa uzuzu huo utamuelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom