Kenyan Soldier (Ph.D holder) Working for US Billionaire Elon Musk

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,744
48,385
Immanuel Gitamo, a US Kenyan military soldier working on US Billionaire Elon Musks' Project SpaceX.

Immanuel Gitamo, a US Kenyan military soldier working on US Billionaire Elon Musks Project SpaceX.
FILE

Immanuel Gitamo, a Kenyan soldier in the US army working on billionaire Elon Musk's SpaceX project, has come a long way from Kitale, Transzoia County, where he was born, overcoming adversity to achieve what only a few dream of.

"My brother and I were found abandoned by the roadside by a couple. I didn't know my real father and mother," said Gitamo during an interview with the Nation.

The couple adopted the two and raised them even though they struggled as they were not well off. In an interview with the Army journal in the US, he shared that he owned his first pair of shoes at 14 years.

US Billionaire and CEO of SpaceX Elon Musk

US Billionaire and CEO of SpaceX Elon Musk
FILE
Teachers at the local schools he attended allowed him to study for free, and in return, Gitamo helped with chores in the school.

After high school in 2006, he got a green card and moved to the US for further studies. He graduated with a Bachelors's degree in Aeronautics and Astronautics Engineering and later pursued a Master's degree in Nuclear Physics at the California Institute of Technology.

Joining the US army helped him access military benefits to fund his schooling which would also see him get a roof over his head and the experience he needed. He later enrolled in a Ph.D. program to pursue astrophysics and was required to write a thesis and his choice was electric propulsion to space.

“My dissertation was about electric propulsion. That’s why I joined the Army. I was doing my dissertation for my Ph.D., and I needed to be able to defend it. I was creating electric engine propulsion for spacecraft. In order to get to know how electric propellant works, I needed to know how solid propellant works. That's what the Army uses to eject missiles, so I joined the Army,” said Gitamo.

In 2019 he cleared his Ph.D. in Astrophysics being the only soldier in the US military to have it.
He is currently pursuing another Ph.D. in Atomic physics.

Gitamo says aerospace is encompassed in two engineering disciplines. - Aeronautics entails Aircraft in the earth's atmosphere and Astronautics involves things outside the earth, an interest that has seen him work with Musk's SpaceX, a company that designs, manufactures and launches advanced rockets and spacecraft

The scope of his degree is research, design, science, and technology behind aircraft Construction and testing.

"This is how I came to be part of the Space X project Falcon 9 which has been launched 107 times with 67 landings and 50 times having reflown tickets. 2027 SpaceX is a complete mission which we are still planning. It is meant to go to Mars," he revealed. It is through this project that he met US Billionaire Elon Musk, a man he says, he admires a lot due to what he has accomplished.

He is currently an Air Defense Battle Management System operator assigned to the 2nd Stryker Brigade Combat Team, 7th Infantry Division on Joint Base Lewis _MCchord Washington State.

Dr. Immanuel Gatimo has a Ph.D. in Astrophysics and is pursuing a second Ph.D. in Atomic Physics.

Dr. Immanuel Gatimo has a Ph.D. in Astrophysics and is pursuing a second Ph.D. in Atomic Physics.

Wakenya bana kwa masifa.kwahiyo mnataka na sisi tuweke matangazo ya watanzania wanaofanya kazi marekani? Na warwanda waweke na waganda waweke. Hii kwangu naona siyo habari kabisaa aisee

Vitu kama hivi haviwafikii nyie watu wa ze ze ze GODZILLA
 
Hadi miaka 14 bila viatu duh majirani kumbe kuna wenzenu wanateseka namna iyo ,Na kwa sasa hali ikoje uko Kitale.

Good part of the story the guy is luck and smart enough to achieve that PhD, it was not easy ,let him enjoy his achievement
 
Hadi miaka 14 bila viatu duh majirani kumbe kuna wenzenu wanateseka namna iyo ,Na kwa sasa hali ikoje uko Kitale. ...

Good part of the story the guy is luck and smart enough to achieve that PhD, it was not easy ,let him enjoy his achievement

Watanzania huwa mnachekesha, kwenye taarifa yote hiyo mumeshikilia moja tu hilo la viatu, inawezekana kuwa kweli maana amemaliza kidato cha nne 2006, hapo ukombozi wa pili kwenye nchi yetu ulikua bado mchanga, hivyo ina maana aliishi kipindi cha udhalimu kama wa CCM huko kwenu.
 
Kwakifupi bado mko gizani tu,Mwanga uko mbali sana
 
Acha wivu mtoto wa kike!!
Wakenya bana kwa masifa.kwahiyo mnataka na sisi tuweke matangazo ya watanzania wanaofanya kazi marekani? Na warwanda waweke na waganda waweke. Hii kwangu naona siyo habari kabisaa aisee
Hii sasa ndo habari! kama ilivyo habari nyingine ya mtu yeyote aliefanikiwa kwa juhudi zake binafsi. Kama unayo ya mtu mwingine tafadhali post tusome.

Alaf uskute Mimi na wewe tulikua na nafasi nzuri zaidi ya mafanikio ila hatukuitumia ipasavyo. Jiangalie ulipo, unasoma kuhusu space x mwenzetu anayaishi!
Huyu ni American, the only memory he have from Kenya ni kutovaa viatu hadi anafikisha 14years, Kenya ina umaskini wa hatari.
Kipi Kilichokuuma hapo sasa?
Hadi miaka 14 bila viatu duh majirani kumbe kuna wenzenu wanateseka namna iyo ,Na kwa sasa hali ikoje uko Kitale. ...

Good part of the story the guy is luck and smart enough to achieve that PhD, it was not easy ,let him enjoy his achievement
Nakupa like! Kwa kweli Hongera zake.
Vitu kama hivi haviwafikii nyie watu wa ze ze ze GODZILLA
Acha upumbavu na wewe. Hujampa hata hongera ushaanza vijembe.
 
Kuna viashiria vyote vya kuitwa mpumbavu. Huyo bwana anakuletea kwako unga? Si ananufaisha wazungu huko Marekani lakini mpumbavu kama wewe wa huko kisumu unaona fahari hapo ulipo una njaa ya siku tatu.
 
Matako ww
Acha wivu mtoto wa kike!!

Hii sasa ndo habari! kama ilivyo habari nyingine ya mtu yeyote aliefanikiwa kwa juhudi zake binafsi. Kama unayo ya mtu mwingine tafadhali post tusome.

Alaf uskute Mimi na wewe tulikua na nafasi nzuri zaidi ya mafanikio ila hatukuitumia ipasavyo. Jiangalie ulipo, unasoma kuhusu space x mwenzetu anayaishi!

Kipi Kilichokuuma hapo sasa?

Nakupa like! Kwa kweli Hongera zake.

Acha upumbavu na wewe. Hujampa hata hongera ushaanza vijembe.
 
Kuna viashiria vyote vya kuitwa mpumbavu.Huyo bwana anakuletea kwako unga?,si ananufaisha wazungu huko Marekani lakini mpumbavu kama wewe wa huko kisumu unaona fahari hapo ulipo una njaa ya siku tatu
Taratibu basi wee jamaa, kwani umegombana na nani!???
 
phd guy kaenda kuwa body guard seriously?
It's not uncommon to see these guys to do any job regardless their academic achievements. The other time, I read somewhere, a Kenyan (phd student) was convicted for being drug mule. Huwezi kuamini.
 
Kuna viashiria vyote vya kuitwa mpumbavu.Huyo bwana anakuletea kwako unga?,si ananufaisha wazungu huko Marekani lakini mpumbavu kama wewe wa huko kisumu unaona fahari hapo ulipo una njaa ya siku tatu

Hawajifunzi tu. Kwani Obama aiifanyia nini familia yake na Kenya kwa ujumla.
 
Wakenya bana kwa masifa.kwahiyo mnataka na sisi tuweke matangazo ya watanzania wanaofanya kazi marekani? Na warwanda waweke na waganda waweke. Hii kwangu naona siyo habari kabisaa aisee

Huyo anaitwa kiboga, anaharibika kadiri anavyokua.
 
Kwakifupi bado mko gizani tu,Mwanga uko mbali sana

Huko tulishatoka na ndio maana leo uchumi wetu unakaribia kuwa mara mbili ya uchumi wenu, haikua kazi rahisi kuondoa CCM ya Kenya. Niliishi kipindi hicho na niliyashuhudia maisha ya wakati huo, na ndio maana huwa nasema Watanzania hunikumbusha mbali sana.
 
phd zetu zina lamba togwa ya ushelisheli eti tiba ya covid

Muhimu sana watu wakasoma hii
In 2019 he cleared his Ph.D. in Astrophysics being the only soldier in the US military to have it.
He is currently pursuing another Ph.D. in Atomic physics.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom