[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kafrican,
Nivlark,
Sammuel999 and his younger, less sentimental brother, sam999 (dont kill me Sam, I didnt say u are sentimental),
MK254, the arch- debator on the Jf Kenya, his brilliant command of both languages and profound grasp of a wide array of issues has made him quite a legend here,
Mwanzi1,
Geza Ulole, Kenyans may not like him but c'mon, he' s good,
Kimweri- I dont know when he will finish his jail term, but he's also frighteningly good,
Econometrician,
EngineerLMG,
Edward Wanjala
kui,
I dont know if Jack Daniel's is still alive. Bad quidnunc!
Tobaa,
Mwanzi1,
JokaKuu
and not forgetting NairobiWalker, who is currently in Nigeria, battling them on on their own forum.
bora tubaki hivi hivi hatufahamiani kwa sura maana wengine huwa tunatembelea sana huko kenya kwenye shughuli zetu mbalimbali.
watu wanaweza wakakutegeshea vitu vyenye ncha kali pale boda ya namanga[emoji23] [emoji23]
Nahisi hawa jamaa labda walitendwa na wadada wa bongo..Geza Ulole,mwaka 2011 katika
siku zangu za mwanzo baada ya kujiunga jf na baada ya kuanza kufatilia mijadala ya KF,kulikuwa na member wawili wakenya kabaridi na nairoberry.
hawa jamaa walikuwa na chuki isiyo kifani dhidi ya tanzania.sikuwahi ona hata siku moja wakiizungumzia tz kwa mazuri.kila kitu kuhusu tz kwao kilikuwa ni kibaya.
sijui walipatwa na masahibu gani.huyo kabaridi ilipofika 2013 akatoweka,nairoberry nadhani mara ya mwisho kuonekana hapa ilikuwa ni 2014.
bora tubaki hivi hivi hatufahamiani kwa sura maana wengine huwa tunatembelea sana huko kenya kwenye shughuli zetu mbalimbali.
watu wanaweza wakakutegeshea vitu vyenye ncha kali pale boda ya namanga[emoji23] [emoji23]
Shukrani Iconoclastes Geza hoja zake huwa nzuri kuna wakati anajibu mpaka mwenyewe unaona point.
MK254
Iconoclastes
Livale
Edward Wanjala
1africa
Kafrican
Samuel999
Tuusan
sijui mbona mnasahau Dhuks
Nairobiwalker kuna mcoast fulani sijui ni saadik nimesahau jina.
Waliofanya niingie JF ni Geza,Dhuks NairobiWalker na Kafrican
Sidhani kama humu kuna kitu huwa mnasema ambacho kinaweza kusababisha uhasama na Wakenya, maana nyote huwa mnazungukia kwenye vitu vya kawaida kama njaa Turkana, Kibera na Alshabaab. Labda pale unakua too personal kwa mtu, lakini vitu vingine mbona vya kawaida tu. Binafsi sijaona chochote ambacho kimejadiliwa humu na kikaibuka kwenye habari za Kenya au hata kutajwa Kenya.
Wabongo hawajazoea dhana ya "agreeing to disagree", na hili lipo hata kwenye vikao kwenu. Unakuta ukimbishia mtu kwenye kikao anabeba majungu hata kule nje mkienda kupata chai. Sisi Wakenya tumezoea kuambiana ukweli kwenye vikao, unaanikwa mubashara bila kufichwa na baada ya hapo mtakula vitafunio pamoja.
Hehehehe! Ndio hata rais wenu alishasema hajaribiwi, ukimbishia anakuchemsha fasta, nakumbuka alivyokua anasema kwamba ukigoma kumpa mkono wa salamu naye hawezi kutia saini chochote kinachokuhusu, ilikua kule Zenji.
Ushaanza kuchafua hali ya hewa, ngoja nyuki watoke mzingani.
Ukweli ninaojua ni kuwa Kenyan forum imebeba vichwa kwa pande zote mbili ingawa kuna watu huleta utani ambao si mzuri... hoja hupingwa kwa hoja na hii imesaidia kujua realityKafrican,
Nivlark,
Sammuel999 and his younger, less sentimental brother, sam999 (dont kill me Sam, I didnt say u are sentimental),
MK254, the arch- debator on the Jf Kenya, his brilliant command of both languages and profound grasp of a wide array of issues has made him quite a legend here,
Mwanzi1,
Geza Ulole, Kenyans may not like him but c'mon, he' s good,
Kimweri- I dont know when he will finish his jail term, but he's also frighteningly good,
Econometrician,
EngineerLMG,
Edward Wanjala
kui,
I dont know if Jack Daniel's is still alive. Bad quidnunc!
Tobaa,
Mwanzi1,
JokaKuu
and not forgetting NairobiWalker, who is currently in Nigeria, battling them on on their own forum.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Ina maana hamna Mkenya ananipenda humu? [emoji23] Ati kadoda11 ni haki kweli? Ila nina uhakika ni secrets admirers the way my posts hit 1000 views in a day n in Kenyan forums means something. Mimi nawapenda nyote na nawasihi msipigane August.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Hongera kadoda 11 kwa kuanzisha huu uzi ambao naamini utaisha bila povu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Binafsi hii ID ni kama mpya haina mda mrefu! Lakini nimeanza kuifuatilia rasmi JF mwishoni mwa mwaka 2011! Kipindi hiki nilikuwa nje ya nchi hivyo sikutaka kujisajiri kama mwanachama, nilibaki kusoma tu kama guest!
Mara nyingi nilikiwa napitia jukwaa la siasa kujua kinachojiri huku nyumbani, huku mijadala ya kule MMU ikinikera kweli kweli hadi nikawa naona lile jukwaa halina haja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nirudi kwenye mada, Kwenye hili jukwaa nilikuwa napita nikiwa nimetulia kabisaaaa!
Kuna watu walikuwa wananivutia kwa uchangiaji wao wa mawazo, hasa jinsi walivyokuwa wanakaa kidete kupambana na wakenya!
Upande wa tz!
1; Geza ulole!
Huyu jamaa ningekuwa namfaham in person basi ningeshampa tuzo binafsi kwa mda wake ambao alikuwa anautumia kupangua hoja! Nakumbuka kuna mkenya alikuwa anaitwa Lawmahima (Sikumbuki vizuri ID yake maana siku hizi simuoni!) Hawa jamaa walikuwa wanapelekana mpaka basi!
2; Askari Kanzu!
Huyu naye alipambana sana na kuwa inspiration kwangu! Siku hizi simuoni mara kwa mara nahisi kakabidhiwa jukum zito!
3;Joka kuu!
Nilipenda sana uchambuzi wa huyu bwana kwenye masuala anuai!
Kuongezea kwenye orodha hiyo yupo Kimweri, wapo wengi wengine nawatunza kwa sababu maalum!
Upande wa jirani zetu!
1; Iconoclastes!
Nampenda huyu jamaa maana ni mwepesi wa kukubali jambo unlike wakenya wengi! Ngeri yake pia hasa akipata kapovu kwa mbali huwa ananikumbusha mambo ya ngugi wa thiong'o
2; @Samuel999
Ni mchambuzi mzuri wa mambo na hana povu sana!
3; MK254, huyu nahisi anaongoza kutokuwa na povu miongoni mwa wakenya,
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Ukweli ninaojua ni kuwa Kenyan forum imebeba vichwa kwa pande zote mbili ingawa kuna watu huleta utani ambao si mzuri... hoja hupingwa kwa hoja na hii imesaidia kujua reality
Wakenya almost wote wapo vizuri ingawa kuna wale waliopo short tempered ,nationalists na wana stereotypes za ajabu kama nairobiwalker na sam999 ... mk254 huwa namkubali kwa kiswahili na pia utulivu .... iconoclates ,kAfrican na Nivlark salute maana ni rahisi kujadiliana nanyi
Watanzania nao wapo vizuri sana tu ingawa washabiki hawakosekani.....
Ukikuta mjadala umetulia kwa pande hizi sometimes unaweza usicomment maana kila unachotaka kuongea unakuta kimeshaandikwa... BIG UP