Kenya yazuia ndege za UAE ili kulipiza kisasi

Usituingize kwenye migogoro yenu. Ni Kenya vs falme za kiarabu. Tanzania hatuhusiki
Jinga lingine hili hapa!! Kenya nasi ni wamoja inaingia sababu ni EA. mwaminifu!! kwani si ulifundishwa ''Binadamu wote ni sawa na Africa ni moja?? tatizo mishule ya kata hii!!! hili hulijui!! unazingatia mipaka ya Mkoloni!!

ndo nyie ya damu babu zenu waliouza watumwa nyie!! Bado unaona kenya wao ni wao! na sisi ni sisi kivyetu?? AU Unaiju malengo yake wewe?? OAU Je uliwahi kuisikia? shabaha zake ni nini? hukusoma weye! umejua kuandika tu!

Mipka ya kikoloni umekujaa na ukajazika!! unabahati ningekupiga kofi moja tu hapo kuleeeee!! ndo maana mnauawa south ...kuuumbe mmeanzia humu humu! hili ni jukwaa la wasomi siyo vikaragosi kenge kabisa!
 
Kenya ni kweli wanaghusi vyeti vya COVID, Hadi vya chanjo.

Hawa jamaa ni janga kwa Africa na dunia nzima.
 
Maumbw@ hao. Ni vizuri tumelipiza kisasi. Jambo hili liliniuma sana kuona jinsi nchi hii ya ujinga ya Kiarabu inavyoban ndege na abiria kutoka Africa wakidhani wao ni Mungu. Tit for tat is a fair game. Hata Nigeria waliban UK kwa sababu hii hii.

Masikini jeuri.
Haya buana japo sijui ni yupi anaumia.
 
Kenya ilipozuia abiria kuingia Kenya kwa sababu hiyohiyo na Tanzania tulipolipiza kisasi wewe ni miongoni mwa watu waliomsema vibaya Sana Magufuli, Leo unahalalisha Kitendo cha Kenya kulipiza kisasi, kweli Kenya ni nchi ya watu wa hovyo Sana.
Wanatembelea nyota ya JPM!
 
Back
Top Bottom