Kenya yapiga hela ndefu kutokana na mauzo ya zao la parachichi, mlitucheka sana tulipoanza kupambana

Tangu lini Ksh4b ikawa sawa na Tsh40b? Hata hesabu za 1+1 ni taabu kwenu!
Mzee umeshindwa. Leta mazao yanayo nusa pua hapa:
Screenshot_20210429-135339.png
 
Mzee ndicho tunachoongelea usilete hasira.
The value of Kenya’s avocado exports jumped 93 per cent to Sh4.26 billion in the first quarter of this year
Naomba unieleze maana ya maneno haya.
93% maana yake before ilikuwa chini ya ksh4b.
Sitaki hasira mzee hapa tunajadiliana.
Na usilete uongo. Thread mmeianzisha wenyewe. Hapa tunapiga hesabu kwa pamoja.
Nigga, do you know the meanings of the word 'first quarter'? In short, this article compares earnings from avocado exports between January and March this year and the same period (Jan - March) last year na ikabainika kwamba there was an increased of 93% this year during the period of study. Hiyo Ksh4.26b ni mauzo ya miezi mitatu tu za kwanza mwaka huu. Mtaanza kuelewa kiingereza lini?
 
Jombaa, $125M ni jumla ya exports za maparachichi kutoka Kenya mwaka jana, kwa miezi 12. KES 4.26B ni export ya mapachichi kwa miezi mitatu ya kwanza mwaka huu. Ni nini kinakukanganya hapo?
Kitu huyu mnyamwezi haelewi ni hilo neno 'first-quarter'. Yani hicho kiingereza kinampita kabisa 😂
 
Kuelimisha mitanzania ni kazi ngumu sana., akili zimeganda😂😂😂
Yani nimeona hiyo hesabu yaje nikacheka sana. Is this the reason why these people cross over to Kenya to seek for education? Yani nimebaki kinywa wazi vile huyo jomba amepiga hesabu hapo juu! Yani ni aibu aise 😂 😂 😂 Alafu anajiita IT expert 😂
 
Mzee twende sasa hiyo
2.2bx12 itafika $126m.
Wewe ndio unajiita IT expert? 😂 😂 😂 😂 Kwa hivyo Tanzania iko na IT experts dunderheads tu hivi? Hiyo Ksh2.2b ni mauzo ya miezi tatu za kwanza mwaka huu (2021). Si mauzo ya last year 2020. So why are you multiplying that figure with 12 months wakati mwaka(2021) haujaisha? Hivi,hujabakisha hata common sense?
 
Can we blame this math problem kutumia kiswahili kusoma ama rusungu ndio shida, na mtu anasema ni mwanasayansi
Huyu ako tu na ujinga wa kuzaliwa. Let's not blame his stupidity on anything. He's a true definition of a dunderhead. Na anajiita IT expert!😂 😂
 
The value of Kenya’s avocado exports jumped 93 per cent to Sh4.26 billion in the first quarter of this year compared to the previous period, data by the Horticulture Directorate shows, buoyed by improved demand in global markets.

Kenya, which is ranked eighth globally in avocado production, exported 26,481 tonnes of the fruit between January and March this year compared to 15,101 tonnes in 2020.

The jump in avocado export volumes between January and March, came as Kenya lifted a ban on the shipment of the produce to markets abroad to curb pre-mature harvests by cartels keen on profiteering from global demand.

The Directorate of Horticulture allowed the resumption of export of the popular Fuerte variety on February 15 followed by Hass on March 8 after close to a four-month ban.

The horticulture regulator had banned the export of the two popular avocado varieties last November to curb the harvesting of the immature crop.

The avocado season for these main varieties normally comes to an end at that time resulting in a shortage of the fruit in the country, pushing up the cost of the commodity.

Kenya currently ships the bulk of its avocados to Europe and the Middle East.

Most of the consignments are currently heading to Europe, which is one of Kenya’s major markets for avocados in terms of returns, with some exported to the Middle East.

A few batches are exported to China as Kenya is yet to meet the conditions set by Beijing to warrant the exports of these fruits in large quantities.

Good returns​

The good returns from the sale of the fruit have attracted more Kenyans into cultivating it amid rising global demand.

“There has been an increase in area under cultivation and a shift from the traditional avocado growing zones to the Rift Valley and parts of western Kenya,” the Horticulture Directorate.

Avocado has been a major contributor of the income from the horticulture earnings, raking in nearly half of the total returns from fruits.

Kenya’s avocado exports jumped 15 per cent to 68,000 metric tonnes over the 12 months to October 2020, fetching the country Sh14 billion.


Arusha na Kilimanjaro (Moshi) muache kupeleka Parachichi Kenya. Tuone kama ni kweli wao uwezo wa kulima au kutoa maparachichi
 
Arusha na Kilimanjaro (Moshi) muache kupeleka Parachichi Kenya. Tuone kama ni kweli wao uwezo wa kulima au kutoa maparachichi
Sasa si muuze tu parachichi zenu kwenye soko za kimataufa nyinyi wenyewe kama mnajua mnazalisha avocado kwa wingi? Mbona hizi zisababu zimekuwa nyingi hivi?
 
Watanzania buana, sasa inakuwaje wakulima wa Kenya wanalipwa hela ndefu moja kwa moja kutoka kwa 'exporters', kama malipo ya zao ambalo mnasema sio lao? Kenya ilishaipiku hadi S.Africa, ambao miaka ya nyuma ndio walikuwa wanaongoza kwa uzalishaji wa maparachichi hapa barani Afrika.
Cha ajabu ni kwamba karibia 80% ya maparachichi ya export nchini Kenya yanatoka kwa wakulima wa gatuzi moja tu, Murang'a County. Hongera zao.
Kwetu Muranga, mostly kangema, kahuro, kiharu and kigumo...sinili kwambia wewe rasta naweza kuajiri kama shamba boy wangu 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hiyo hesabu yake kwanza ilinichanganya, ilibidi nirelax mind ndio nielewe procedure yake lakini hata hivyo bado nilitoka bure. Huyo mwanasayansi nikipelekwa in a class in which he teaches maths I'm sure ntafail.
Huyo kilaza alijiaibisha yani..smh! Hadi ikabidi aepe thread kwa aibu
 
Back
Top Bottom