Kenya using Mt. Kilimanjaro (again)

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,219
1,251
Kenya using mount Kilimanjaro again, may be because this time its for humanitarian reasons and also acknowledge that it is a mountain in the northeastern of Tanzania.
KILICLIMB Initiative Launch said:
Nation Media Group (NMG) staff and partners on Wednesday, September 7th launched the KILICLIMB Chukua Hatua, Maliza Njaa Initiative that seeks to raise Kshs.60 million towards the long term initiatives for Red Cross under Kenyans for Kenya Initiative. Sixty of NMG staff members and partners will scale Mt. Kilimanjaro from Friday 14th October to Sunday 23rd October in the effort to raise money to alleviate hunger in the hardest hit areas in Kenya. This will be done by providing water, seed and agro based knowhow to build significant community based food security.
Source http://kiliclimb.nationmedia.com
 

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,201
1,330
Mkuu hapo sijaona kosa ni kama sisi tuanzishe harambee ya kukusanya pesa alafu tukapande mount everest...; tena ndio bora zaidi nadhani katika hii issue yao Tanzania tutapata mapato tofauti na kama wangeenda kutembelea Mombasa
 

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
50,445
62,477
Kenya using mount Kilimanjaro again, may be because this time its for humanitarian reasons and also acknowledge that it is a mountain in the northeastern of Tanzania.
Ozzie sioni ubaya tena ukiangalia vizuri wamekuwa very fair nathani wanajaribu kufanya initiative yao kuwa regional! ukisoma hiyo website yao wameeleza vizuri Mlima uko wapi hata picha walizotumia hiyo initiative yao ita-raise profile ya Mlima kama ujirani mwema! Na i commend it! lets help them to donate..

Ila wasisahau tu kulipa royalties kwa merchandise zao zitakazotumia a brand "Kili"
 

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
Kenya using mount Kilimanjaro again, may be because this time its for humanitarian reasons and also acknowledge that it is a mountain in the northeastern of Tanzania.

Mkuu watapanda kutokea bongo au kenya?
 

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
15,868
11,402
kuna siku nilikuwa naangalia kipindi cha 50 por 1 cha Tv ya Miramar mtangazaji akautangaza huu Mlima uko Kenya.
 

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,219
1,251
Kweli kwa sasa sio mbaya. Hata kwenye website yao wanakubali japo kwa shida kwamba mlima uko Tanzania. Lakini naamini hawako wazi, maana hata neno Tanzania halitokei zaidi ya mara mbili katika article nzima, japo wanataja maeneo kadhaa yaliyomo njiani kuelekea mlimani. Waache wenye meno wale bwana. Maana sisi watanzania hususani wanaokula katika sekta ya utalii, tunaishia kulaumu serikali, badala ya kuchuma kupitia mount Kilimanjaro.
 

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
13,107
14,007
Hkuna ubaya hapo. Sisi tunakosa initiative ya kutumia raslimali zetu na tulishakubali kuwaacha wenzetu "wawekezaji" watuonyeshe jisni ya kuzitumia.
 

Kudi Shauri

Senior Member
Nov 1, 2007
154
80
Hakuna kibaya walichofanya hawa jamaa. Let us stop being paranoid! After all we are all East Africans. Nchi inaweza kuchagua nchi kuwa marafiki zake lakini haiwezi kuchagua nchi majirani. Kenya are our neighbours and let us respect them just as we expect them to respect us!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom