wakenya tuje huku
thank Invisible...from now mimi nishavuka border ...
hivi hata ukiwa huku kenya unakula ban?
kweli hata wachumba tutapata hukuMimi nimeipenda hii,
tutajifunza mambo mengi zaidi,
mimi najua nchi hizi zimeshatuzidi hata kwa kiuchumi
tutajifunza zaidi.
kweli hata wachumba tutapata huku
Penye ukweli uongo hujitenga:
Si kweli mkuu Mamndenyi
"Mimi nimeipenda hii,
tutajifunza mambo mengi zaidi,
mimi najua nchi hizi zimeshatuzidi hata kwa kiuchumi
tutajifunza zaidi.
Lete data, kama huna mie ntakupa data ku-"support" ninachosema: Karibuni Wakenya, Waganda, Wanyarwanda na wote wengine..lakini tunataka heshima humu jamvini.
- Niambie nchi gani zimetuzidi kiuchumi..Kenya pekee ndo ina GDP kubwa katika Afrika Mashariki..Uganda & Rwanda wamepitwa na Tanzania kwa uchumi mkubwa.
Nawaomba JF au Members wa JF tuwakaribishe Rwanda, Kenya, Uganda na Burundi.
Pia tusiwaache Zambia, South Sudan, na DRC.
JF wafanye promotion huko na pia sisi JF members tuwaalike marafiki zetu kutoka huko
Faida zake zipo maana tutajua BIz opportunities na Kazi pia