Kenya tumeshika nafasi ya tatu kwa ufisadi duniani

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,159
9,241
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya wameelezea hofu ya taifa kujikuta katika mapinduzi kutokana na ufisadi uliokithiri, huku walala hoi wakiendelea kutaabika ndani ya nchi yao.

Ripoti mpya ya viwango vya ufisadi inaonyesha Kenya ikishikila nafasi ya tatu kote ulimwenguni, licha ya serikali kuweka mikakati ya kukabililiana na viotendo vya rushwa na ufisadi.

Utafiti huo wa shirika la Pricehouse-Water-Coopers unaonyesha Kenya ikiwa nafasi ya tatu nyuma ya Ufaransa na Afrika Kusini.

Katika mahojiano na sauti ya Amerika Maur Abdalla Bwanamaka, mwenyekiti wa chama cha Uzalendo nchini Kenya, ameutaja utumiaji mbaya wa mamlaka kama unaochangia kwa kiasi kikubwa hali ilivyo.
 
Hata neno "ufisadi" ilianza kutumika Kenya kwa miaka kadhaa mbele ya Tanzania.
 
katiba yao nzuri haijawasaidia tu maana hapo kwetu wanasema mwarubaini wa ufisadi ni katiba mpya
 
  • Thanks
Reactions: nao
Aah!! Kawaida tu!
Utachukia kama baba'ko hayupo kwa government!! ila kama yupo utakuwa happy!!
 
katiba yao nzuri haijawasaidia tu maana hapo kwetu wanasema mwarubaini wa ufisadi ni katiba mpya

tena shida kuu ya kenya ni katiba yenyewe....hawakuiandika kwa kuangalia muktadha wa kenya bali wa kimarekani. wamecopy mambo ya kimarekani mno. mapato mengi ya serikali yanaishia kwenye mishahara ya wanasiasa na huduma za kijamii kutelekezwa.
 
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya wameelezea hofu ya taifa kujikuta katika mapinduzi kutokana na ufisadi uliokithiri, huku walala hoi wakiendelea kutaabika ndani ya nchi yao.

Ripoti mpya ya viwango vya ufisadi inaonyesha Kenya ikishikila nafasi ya tatu kote ulimwenguni, licha ya serikali kuweka mikakati ya kukabililiana na viotendo vya rushwa na ufisadi.

Utafiti huo wa shirika la Pricehouse-Water-Coopers unaonyesha Kenya ikiwa nafasi ya tatu nyuma ya Ufaransa na Afrika Kusini.

Wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya wameelezea hofu ya taifa kujikuta katika mapinduzi kutokana na ufisadi uliokithiri, huku walala hoi wakiendelea kutaabika ndani ya nchi yao.

Katika mahojiano na sauti ya Amerika Maur Abdalla Bwanamaka, mwenyekiti wa chama cha Uzalendo nchini Kenya, ameutaja utumiaji mbaya wa mamlaka kama unaochangia kwa kiasi kikubwa hali ilivyo.
najivunia kuwa mtanzania chini ya utawala wa Magufuli amabaye amedhamiria kuutokomeza ufisadi katika ardhi ya Tanazania.
 
Hivi ule uchaguzi wa malindi na kericho uliishaje make nilimsikia Ruto akidai ndo mwelekeo wa ushindi wa jubilee 2017.
 
Hiyo Ufaransa gani iliyoko no 1 duniani kwa ufisadi ? Ni hii ya Rais Hollande ? Au kuna nchi nyingine iliyoko Afrika inaitwa Ufaransa ?
 
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya wameelezea hofu ya taifa kujikuta katika mapinduzi kutokana na ufisadi uliokithiri, huku walala hoi wakiendelea kutaabika ndani ya nchi yao.

Ripoti mpya ya viwango vya ufisadi inaonyesha Kenya ikishikila nafasi ya tatu kote ulimwenguni, licha ya serikali kuweka mikakati ya kukabililiana na viotendo vya rushwa na ufisadi.

Utafiti huo wa shirika la Pricehouse-Water-Coopers unaonyesha Kenya ikiwa nafasi ya tatu nyuma ya Ufaransa na Afrika Kusini.

Wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya wameelezea hofu ya taifa kujikuta katika mapinduzi kutokana na ufisadi uliokithiri, huku walala hoi wakiendelea kutaabika ndani ya nchi yao.

Katika mahojiano na sauti ya Amerika Maur Abdalla Bwanamaka, mwenyekiti wa chama cha Uzalendo nchini Kenya, ameutaja utumiaji mbaya wa mamlaka kama unaochangia kwa kiasi kikubwa hali ilivyo.
we should try hard to be number 1 next time!
 
Hiyo Ufaransa gani iliyoko no 1 duniani kwa ufisadi ? Ni hii ya Rais Hollande ? Au kuna nchi nyingine iliyoko Afrika inaitwa Ufaransa ?
mimi mwenyewe hapo kwa ufaransa sijapaelewa, labda mtoa mada angeweka link
 
Back
Top Bottom