Kenya to build an International Airport at Taveta near KIA



Doesn't Kenya have a right to build an airport or anything provided it is doing so within it's borders?

Are we breaking any international law by building this airport in Kenya with our own money?



You have the right even to build a replica of Kilimanjaro mountain on your territory. But still, the tourists will need a permit to enter Our Lovely Tanzania from that ill willing air port.
 
So if no law has been broken, i do not see why people are complaining.

Tanzania should start thinking on itself rather than always waiting for Kenya to take a step
for it to start complaining.

You can even go ahead and build another airport just five kilometers from the
Kenyan one and see if we will complain.

We do not give a damn what you do on your side of the borders.

Kilimanjaro is completely of no worth to us as is mt Kenya is to you.
 
If KIA was doing well,you will not worry about anything so pull up your socks and stop complaining.
 
So if no law has been broken, i do not see why people are complaining.

Tanzania should start thinking on itself rather than always waiting for Kenya to take a step
for it to start complaining.

You can even go ahead and build another airport just five kilometers from the
Kenyan one and see if we will complain.

We do not give a damn what you do on your side of the borders.

Kilimanjaro is completely of no worth to us as is mt Kenya is to you.


But who is stopping you from building it? And you think that's a biggest achievement on earth. What is having to do with Tanzanian affairs? If you are sure that's it's your right, what's a basis of your complaints then? Just making storms in a tea cup? Is it even built already? eliekeem put is right, the tourist you are trying to woe will still need a visa and all the related fees to see whateveran attraction is in Tanzania? Right? But do you agree you are building it because of the abundant attractions available in the northern circuit of Tanzania? Why not near all other neighbors but TZ?
 
You moron who told you i m rwandese? au kwa sababu nina positive views towards Kagame,EA nitaendelea kuifagilia na inakuja na Airport itajengwa tuu na Kagame still namwona better kuliko wajinga wezako wenye akili ya cucumber kama wewe....your lies & ignorance are very disturbing and if you cant think of any constructive thing to say,then STFU juha wewe!

Wewe ni mamluki wa Kinyarwanda kama siyo mkimbizi wa Kinyarwanda. Huwezi hata kujenga hoja kwa nini Federation, wengine wako rational, siyo kutetea kujichuuza kwa majirani wasio kuwa na mbele wala nyuma. Kama si hivyo, lazima Kagame atakuwa anakula Tigo, huwezi kukaa unafagilia mambo ya nchi za wengine bila ku-argue cost/benefit analysis za nchi yako. Wewe ni anti tu!
 
Wewe ni mamluki wa Kinyarwanda kama siyo mkimbizi wa Kinyarwanda. Huwezi hata kujenga hoja kwa nini Federation, wengine wako rational, siyo kutetea kujichuuza kwa majirani wasio kuwa na mbele wala nyuma. Kama si hivyo, lazima Kagame atakuwa anakula Tigo, huwezi kukaa unafagilia mambo ya nchi za wengine bila ku-argue cost/benefit analysis za nchi yako. Wewe ni anti tu!

Stop doing this Kbwoya, why are you doing this to yourself, you sound so bitter, what did the rest of EA ever do to you to deserve all this lashing, is it coz we are somehow better than you despite the peace that youve had for a long time. Get off your comfort zone a nd travel abit and maybe you'll see us in a different light, you killing yourself.
 
Stop doing this Kbwoya, why are you doing this to yourself, you sound so bitter, what did the rest of EA ever do to you to deserve all this lashing, is it coz we are somehow better than you despite the peace that youve had for a long time. Get off your comfort zone a nd travel abit and maybe you'll see us in a different light, you killing yourself.

:)Teh teh, you r better???!!!!! In which aspect?
 
eliekeem:

Yule jamaa yetu tuliyepanga atusaidies kwenye ile issue naona walimdabua na yeye! teh teh teh. Lakini aluta continua, walioko upamd wetu ni wengi, wenye akili!

Hata mimi nilichoka siku ile niliposikia, lkn kuhusu vita dhidi ya nyang'au hamna ambaye yuko nyuma. Yaani taswira yao kwetu sisi wabongo imechafuka ile mbaya.

Mwezi december nilivyokuwa arusha nilisha mshughulikia mmoja. na bado naendelea.
Aluta Continua bro Kanyabwoya.
 
Eliakeem,

nakuonea huruma ndugu yangu. nikija Tanzania nitakutafutia kibarua, najua siwezi kosa, bora uwe umesoma kidogo, it so sad to see such energy go to waste.
 
Smatta,

Let me ask you a simple question if you don't mind. What is your take on Kenya constitutional reform , are you for it or against it ? Second, are you a proponent of a proposed land reform ? If the answer is yes, then do you think it's fair to bare foreigners from owning ardhi ?


Thanks in advance.
 
Wajenge tu watalii wote kutoka au kupitia Kenya wataongezewa kiasi cha kulipa kuingia Serengeti na mbuga zote za ukanda wa kaskazini kutoka USD 50 hadi 250 yaani 5 times more na itakuwa inapanda hadi kufikia maximum of 1000% kila baada ya mwaka moja hii itaendelea kulisaidia taifa katika kutatua nyanja za technology etc.

Ambao wataona hiyo ni bei kubwa wana uwezo wa ku-fly moja kwa moja kuja Tanzania na watafaidi bei chee au bwelele lakini hivi sasa team ya ushindi inajipanga kushughulikia swala hili once and for all. Safi sana hivi sasa mkakati uwe kwenye kuongeza ushuru kwa magari yote ya kitalii tutaanza kwa kuwawekea kiwango muafaka mara wanapotaka kuingia Bongo.
 
Eliakeem,

nakuonea huruma ndugu yangu. nikija Tanzania nitakutafutia kibarua, najua siwezi kosa, bora uwe umesoma kidogo, it so sad to see such energy go to waste.

Teh, teh, huku niliko wenzako wengi i.e nyang'au wanataka niwatafutie vibarua. Wenyewe hawana mpango wa kurudi kwao kenya, wanataka wazamie nchi za watu. Mimi nawaambia lazima turudi africa tukajege nchi zetu wananijibu ati tukajenge nchi wakati akina kikuyu wanafaidi peke yao.

By the way smatta, kale ka masters kako ka kwenye internet kutoka india umesha maliza?
 
Katika toleo la jana la gazeti hili, tulichapisha habari kuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia) upo hatarini kufa kibiashara kutokana na nchi ya Kenya kujenga uwanja mkubwa wa ndege wa kimataifa eneo la Holili-Taveta lililo mpakani mwa Tanzania na Kenya.

Habari hiyo ilimkariri Balozi wa Kenya nchini, Mutinda Mutiso akisema kuwa uwanja huo unaojengwa sambamba na ujenzi wa bandari ya nchi kavu, unatarajiwa kugharimu Sh10 bilioni za Kenya, sawa na Sh180 bilioni za Tanzania.

Katika uchunguzi wake, gazeti hili limebaini kuwa hali ilivyo sasa, watalii na wageni wengi wanaokuja nchini wanapitia katika Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyata na kutumia magari madogo kuja hapa nchini wakikwepa gharama kubwa za uwanja wa Kia.

Kuna hofu kuwa kukamilika kwa ujenzi wa uwanja huo mpya na wa kisasa wa Holili-Taveta ulio kilomita mbili tu upande wa Kenya kutoka mpaka mwa Tanzania, kutasababisha watalii wanaokuja nchini kutumia uwanja huo kutokana na ukaribu. Wadau mbalimbali wa utalii na biashara katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini ambayo ni kitovu cha utalii, wametahadharisha Serikali kuwa kukamilika kwa uwanja huo ndio utakuwa kifo cha uwanja wa Kia.

Gazeti hili limegundua kuwa wageni wengi wanaukimbia uwanja wa Kia kutokana na gharama zake na katika sekta nyingine kuwa kubwa, tofauti na Kenya yenye huduma za gharama nafuu, hivyo mgeni anaona bora ashukie Nairobi ili akodi gari na kuja Tanzania kwa gharama ndogo pia.

Kenya imeamua kuipiku Tanzania kutokana na umakini mdogo wa viongozi wa Tanzania katika biashara na inatazamia kuwa wageni wote waliokuwa wanashukia Nairobi sasa watashukia Holili, kwani watatumia dakika 20 kufika Moshi mjini na kuchukua dakika 50 kwenda Arusha, badala ya kutumia saa tano kutoka Nairobi kwa barabara.

Kama hali itakuwa hivyo, Watanzania tujitayarishe kufanya msiba wa kitaifa, kwani uwanja wa Holili-Taveta moja kwa moja utaiua Kia. Wakati tunajiandaa kwa maombolezo, Watanzania tusimtafute mchawi, kwani mchawi ni sisi wenyewe ambao tumeyaacha matatizo ya Kia kuwachefua na kuwafukuza watalii na wageni wengine.

Ikumbukwe kuwa, katikati ya Oktoba mwaka jana Serikali iliwashutumu wafanyakazi na viongozi wa Kia kwa kuhujumu mapato ya uwanja huo na kusababisha hasara kubwa.

Waziri wa masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati huo, Deodoras Kamala aliwaeleza wafanyakazi hao kuwa tayari Serikali ilikuwa inafahamu njia wanazotumia kufuja mapato kwa kutotoa stakabadhi za malipo kwa wasafiri walipotaka viza au kupitisha mizigo. Alisema kulikuwapo malalamiko ya muda mrefu kuhusu urasimu na huduma mbovu katika uwanja huo zilizosababisha wasafiri wengi kuukimbia uwanja huo na kutumia viwanja vingine nje ya nchi.

Alisema Serikali ilikuwa imegundua kuwa baadhi ya mambo waliyokuwa wanafanyiwa wasafiri hao, ikiwamo kuwatoza faini ya dola 50 za Marekani abiria waliokuwa hawana chanjo ya Homa ya Manjano (Yellow Fever), yalikuwa yanawakwaza abiria na mashirika ya ndege kwa kiasi kikubwa, hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa viwanja vingine havina masharti hayo.

Alisema kuwa dunia ya leo yenye ushindani, masuala kama ya chanjo ya homa hiyo katika viwanja vya ndege na mipaka yetu lazima yaangaliwe kwa kutumia busara na uzalendo zaidi kuliko taratibu zilizowekwa kama tahadhari tu, ili wageni waone umuhimu wa kurudi Tanzania.

Baada ya angalizo hilo la kiongozi huyo, watawala wetu waliendelea kupiga siasa zisizo na tija pasipo kuchukua hatua, na ndipo viongozi wa Kenya walipofanya uamuzi wa kujenga uwanja mpya karibu na mpaka wetu ili kuchukua na kuwahudumia wageni tuliowafukuza. Kwa kupitia safu hii, sisi tulitimiza wajibu wetu kwa kuishauri Serikali ichukue hatua haraka lakini iliendelea kuweka pamba masikioni.

Tumeacha Uwanja wa KIA ufe kifo cha mende
 
Kwa sasa priority ya serikali yetu ni malipo ya DOWANS ya Tshs 184 billion. Tukishawalipa haya waheshimiwa ndo tutaanza kuangalia cha kufanya huku tukijiandaa na uchaguzi mkuu wa 2015. Hii ndo Tanzania ya JK
 
wametahadharisha Serikali kuwa kukamilika kwa uwanja huo ndio utakuwa kifo cha uwanja wa Kia.

Tusihofu sana wakati serikali yetu inaandaa mikakati ya kutibu majeraha ya kisiasa yaliyosababishwa na uchaguzi 2010 ( kitu ambacho ni muhimu kwa amani na utulivu wetu - the No. 1 asset we have in TZ) , RA atatafuta mwekezaji wa huo uwanja wa KIA ili uzalishe ajira zaidi , kodi zaidi kwa serikali na pia uweze kuwa competitive. kifupi masuala ya msingi yameachwa kwa mtaalam RA, tukijaamka tunakumbana na makaratasi yaliyowekwa vizuri kisheria.
 
Back
Top Bottom