Kenya to build an International Airport at Taveta near KIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya to build an International Airport at Taveta near KIA

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Rufiji, Apr 1, 2010.

 1. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2010
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  If this story is true, something must be done to protect our national interest. Truth be told, these (Kenyans) are same people who have been advocating for integration of our tourism industries in order to formulate a formidable tourism hub.

  But now they have turned around, and want to take advantage of us under the guise of the EAC. This is plainly a selfish act which will have a negative impact on our economy, specifically our city of Kilimanjaro. It is about time our leaders, in Tanzania, should wake up and formulate strategies which will defend our interest.


  Kenya plans to build an international airport at Taveta near the Tanzanian border, a move that could pose a challenge to the Kilimanjaro International Airport (KIA).

  The new airport is aimed at taping the tourism potential in both Kenya and Tanzania and could substantially lessen dependency on international airports in Nairobi and Mombasa.

  “The site has been secured at Taveta and construction will start anytime from next year,” Mutinda Mutiso, the Kenyan High Commissioner to Tanzania said here on Tuesday evening.

  Speaking to business community members based here from both Kenya and Tanzania, the flamboyant Kenyan diplomat said the project would cost about Ksh10 billion and that it would be completed within two years.

  He said the new airport would be located a short distance from Holili, the border post between the two countries along the Moshi-Voi-Mombasa highway.

  Also to be constructed in the area is an inland port to handle the cargo traffic from Mombasa port to the hinterland and landlocked countries in the region.

  Besides Kenya, the port handles cargo from or destined for northern Tanzania regions, especially Arusha and Kilimanjaro regions.

  Ambassador Mutiso said the new airport is aimed to tap the tourism potential of south east Kenya and north east Tanzania which are endowed with various attractive sites for visitors.

  These include Tsavo West and Amboseli game reserves in Kenya and Mt Kilimanjaro and newly elevated Mkomazi national park in Tanzania.

  “We want to see the Taveta/Holili border region fully integrated for investments and business,” he said, adding that his country would upgrade the Mombasa-Taveta railway line to attract more traffic, especially to northern Tanzania.

  Other transport infrastructures in the area lined up for upgrading include the Mombasa-Lunga Lunga road to the Tanzanian border and Horohoro-Tanga section in Tanzania.

  The diplomat defended the new international airport for his country saying it would reduce the costs and inconveniences by tourists from abroad who had to change planes several times to reach the famous game sanctuaries in the area.

  However, when pressed further on the critical need for the airport in the area that has two international airports at Mombasa and KIA, the Kenyan envoy admitted that their intention was to lessen dependency on the Moi International Airport in Mombasa.

  Should the project go ahead, it is likely to impact negatively on KIA which had not been used to the optimum due to high landing and fuel charges which has resulted in less traffic than anticipated when it was constructed 40 years ago.

  Officials of the Kilimanjaro Airports Development Company (KADCO), a private company that runs the underutilised airport, could not be contacted on their mobile phones yesterday to comment on the matter.

  However, a source familiar with the aviation industry wondered on the motive of having “an international airport” in the vicinity and hinted it could be aimed to pose more challenge to KIA which has not succeeded to beat Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) in Nairobi in handling tourists to northern Tanzania.

  Currently the second largest airport in the country handles various international and regional aircrafts including the Royal Dutch Airlines (KLM) and the Ethiopian Airlines.

  However, its main traffic is with Nairobi’s JKIA where several flights land and take off each few hours mainly by Precision Air, a local airline presently under the management of Kenya Airways.


  Source : The Citizen

  Kenya to build international airport at Taveta near KIA
   
 2. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wao ndiyo wanaona njia pekee ya survival, hawana options maana hata ukame juzi karibu uwamalize ingekuwa siyo chakula chetu. Hata hivyo wa kuamua cha kufanya ni sisi, il mradi viongozi wasiwe majuha.

  Mbuga na vivutio vingine ni mali yetu na haviwezi kuoza, kwa hiyo na sisi tutaweka masharti yetu, tunaweza kuweka vikwazo vingi mpaka kupitia huko Kenya whther Taveta wakaona kuchungu wakaamu kuja moja kwa moja. Yote hiyo ni tamaa ya fisi, kutamanani vya watu, kwanini wasiende kujenga karibu na Ethiopia au Somalia.

  Sisi tukiwa makini, hawa jamaa hawatuwezi, labda wahonge viongozi wa Serikali na sekta ya utalii. Tunawalea sana, hawana kitu hao ni kutapa tapa, kila siku wanaamka na jipya kuhusu Tanzania, when we don't care about these nyang'aus! Hawa jamaa kila siku wanalala wanaiota Tanzania, lakini tuko macho..na iko siku zitapigwa tu!
   
 3. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Kanyabwoya

  Subiri wananchi wakishika nchi patawaka moto. Tick tack tick tack .... ..
   
 4. M

  Malila JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa ni noma ila viongozi wetu ni bomu zaidi. Mimi nimegombana na hawa jamaa mahali fulani ndani ya bongo yetu,kisa kwa nini nalima karibu na waliponunua wao. Nikawatwanga hapa ni Tz au Kenya? walipoona nimekuwa mbogo wakatimka.

  Wawakilishi wetu wanatuangusha sana.
   
 5. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Hiyo ndiyo dawa yao, na watanzania wengine wafanye hivyo!
   
 6. M

  Malila JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli,baada ya pale tunaheshimiana. Japokuwa walinizunguka tena,lakini wakakwaa kisiki,kumbe kulikuwa na mzalendo mmoja mdogo kwa mamlaka aliwazidi akili.

  Akawaambia,malalamiko yenu ni mazuri,je mnaweza kunionyesha hata risiti ndogo ya mchango mliowahi kuchangia maendeleo ya kijiji hiki? wakawa hawana,mnaona mwenzenu huyu,nakala za michango yake hizi hapa. kwa hiyo kijiji hakiwatambui na mkilemaa ardhi hiyo itanyang`anywa bila fidia. Mimi nilikuwa sijui.

  Siku hizi tukionana wananiita rafiki njoo tunywe ile kitu inataka.
   
 7. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #7
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  -Hapo tena wasipokuwa makini wataturahisishia utalii inabidi na sisi tuweke miundombinu kabambe tuunganishe huko kwenye Airport yao.

  Namsikia hata huyu balozi wao anavyoongea pumba kuhusu suala la nchi yake kuweka negative campaign against TZ huko Doa...Kiboko ya hawa watu ni wakimwaga ugali na wewe mwaga mboga.

  Ngoja tu,ipo siku nita-deal nao vizuri kama viongozi wetu wanalaal na kuwa na upole usio na maaana huku hawa jama wanajiona wajanja.Nitawamaliza jeuri yao siku moja tu
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Unajua Kenya tayari walikuwa na plan [mikakati] zao siku nyingi na sasa wanaanza kuzitekeleza moja baada ya nyingine.Kenya wanajua wakijenga uwanja wa ndege Taveta watapata watalii wengi na kazi ya kuuza safari itakuwa si ngumu sana.Uwanja wa Taveta utakuwa karibu sana na mlima Kilimanjaro kuliko uwanja wa ndege wa [KIA] Kilimanjaro International Airport.

  Sasa hivi Kenya wanapigania shughuli za utangazaji wa vivutio vya utalii Afrika mashariki ziwe chini ya EAC.kwa maneno rahisi mtalii akitua Kenya na baadae akipenda kuja Tanzania kusiwe na vikwazo.Tukirudi nyuma Kenya walikuwa wakijitangaza mlima Kilimanjaro uko kwao sasa wanajenga uwanja wa ndege kilometa chache sana kutoka kwenye mlima huo maarufu na mrefu kuliko yote Afrika.Tanzania kwa upande wake iko kimya haulizi kulikono Kenya ijenge wanja wa ndege mpakani na Tanzania,walengwa ni kinanani haswa ?.Tanzania imefanya juhudi kubwa siku za karibuni kutangaza vivutio vyake lakini sasa nahofia tutarudi kule kule kwasababu ya hili dude EAC ambalo halina faida yoyote kwa Tanzania na wananchi wake kwa ujumla.

  Ipo haja kwa wananchi wa Tanzania kupinga kwa nguvu zao zote muungano wa EAC kwasababu kila kipengele utakachokitazama utakuta sisi tupata hasara kuliko faida.
   
 9. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unajua, kwa watu illegal kama hao, ni ka-opportunity kwa watu kama kina papa Msoffe...wananunua halafu wanatapeliwa na kufungishwa virago. Wakiwa nchini naamini ni rahisi kuwaliza..likiwemo suala la kuwa mhamiaji haramu! Hata wakihonga, hawatahonga miaka yote..au mpaka zitaisha! Kwa ardhi, waache wanunue at their own risk, kama ni kuoa watanzania..tuwape Wamachame..au wake zao tuwafundishe umachame machame fulani ili hela ibaki kwa wazawa..eeh wenye mali ..lakini hela yenyewe wanayo ya kueleweka? I pity these parasites!
   
 10. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni majuha tu wanaotaka hii jumuia, ila naamini watanzania wenye akili wapo..tutaungana na hili balaa litaondoka. Hapa penyewe tunaendelea kuwasoma hila zao dhidi yetu...tutawafanya kama Kibanga alivyompiga mkoloni!
   
 11. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #11
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280

  Tuko pamoja mkuu.najua faida za kuwa kwenye shirikisho lakini lazima uangalie unaungana na akina nani na unapata faida gani

  Kwa hizi dalili za wakenya ni dhahiri hawana heri na hii jumuiya.Nilimsikia Odinga nae aki-comment kuhusu kuharakishwa kwa hii jumuiya na kusema wanaotaka wasonge mbele waache conservatives wajiunge badae.Hapo alitumia maneno ya kidikteta,nae asitultee hapa apelekee wakenya wenzake
   
 12. Devils Advocate

  Devils Advocate Member

  #12
  Apr 1, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani Watanzania lazima tuwe na positive minds. Whats wrong if Kenyans build an airport in Taveta? Hivi hamjasikia kuwa serikali yenu ina mpango wa kujenga Airport ya namna hiyihiyo Arusha pale Kisongo?

  Sasa kama kuna KIA kwa nini kuwe na another international Airport arusha? Kabla hamjawalaumu wenzenu anzeni kujilaumu nyie. Kwa muda mrefu sana Wakenya wametuomba tufungue border ya Taveta na kuupa hadhi mji wa Himo na Holili lakin the governemnt imekuwa slow kuimplement. kwa mtazamo wetu tukiboresha ule mji wa mpakani watafaidika wakenya. Sasa wenzetu wameamua kuwa kwa kuwa hatutaki kufanya kitu kwa kushirikiana basi wao watajenga airport na inland port na kwa sababu hiyo lazima na sisi tutadevelope holili tutake tusitake.

  Lets not forget that Kilimanjaro has always been more Kenyan than TZ n that is a fact of life!!
   
 13. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jamani Afrika ni moja kwanini tuwachukie hawa Jirani zetu?
  Kwanini nasisi tusijenge juu ya mlima Kilimanjaro huo uwanja wa ndege tuache majungu hiyo ni mikakati ya Serikali yao wanajipanga tena wako faste hawauzi sura wamesema witin two yrs kitu kitakuwa tayari sisi tumezoea miaka kibao na story nyingi wao wako kimatendo zaidi.

  Leo nilikuwa nacheki site za Nairobi za tour wame list kila kitu mt Kilimanjaro, ngorongoro, kila mbuga iliyopo TZ na sisi tuna ng`aa macho,,,

  Acheni wenzetu wafanye mambo.......wamejipanga na serikari yao imewaelimisha wameelimika wanatumia elimu walio pewa na serikali yao vyema.

  Ukiangalia Sirari wakati wa mchana utaona pale mpakani watoto washule mamia na mamia wakitokea school Kenya wakirudi kwao TZ hiyo inaonyesha jamaa wanatoa elimu nzuri.

  Nakumbuka zamani tulikuwa tunasema wakenya wanaongea tu english lkn kuandika hawawezi lkn hayo sasa yako wapi? wametuzi maendeleo, na pesa yao imetuzidi tukubali matokeo.
   
 14. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 3,986
  Trophy Points: 280
  Jamani sio kila kitu tuone ati ni kwa nia mbaya! Tuache malalamiko yasiyo na maana hiko kiwanja kitakuwa na manufaa kwa hilo eneo yaani Kilimanjaro ambapo uwanja uliokuwepo hautumiki ipasavyo kwa vile kuna viongozi wenye madhumuni wajuayo wenyewe!

  Yaani mpk leo gharama za kutumia uwanja wa KIA ni zaidi ya gharama za kutumia uwanja wa Jomo Kenyatta! Sasa kwa nini tusifurahie ushindani maana wataokaofaidika ni wakazi wa huko yaani kupata huduma kwa bei chee! let them build and make Kilimanjaro a business hub! Sasa kama mafisadi walijibinafsishia KIA kwa gharama ya $1000 kwa mwaka while kila ndege kubwa inayotua inatoa $5,000, tatizo nini?

  Mi ninavyojua ushindani ni muhimu kwa mkoa wa Kilimanjaro na Arusha! hata railway ya Voi-taveta ifunguliwe maana ni gharama kutumia Dar port au tanga port zinazosuasua!
   
 15. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2010
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Watanzania, we must wake up and confront this monster EAC before it eats us alive. As I said before, one has to look on this issue in three dimensions to understand what is coming.

  Let the truth be told, Tanzania has been doing so good lately in tourism industry, and she has been able to put Kenya on the ropes - these people are really struggling at the moment cause they have never faced this kind of competition before. This airport will kill the city of Kilimanjaro if our leaders are not going to act. What we ought to do is to impose a big tax on those tourists who will be coming from Kenya! And by doing so, we will turn transform this, the so called, international airport into a ghost house.

  Enough is enough, we must act now.
   
 16. mtuwatu

  mtuwatu Member

  #16
  Apr 9, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaani,wabongo kweli majungu mengi sana!!
  Mi naona sawa tu maana hata hizo pesa za watalii zikipatikana hatotusaidia sisi,labda hao viongozi ndo watakaofaidika.......acha tu wakenya wafaidi.
   
 17. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,903
  Likes Received: 1,008
  Trophy Points: 280
  Kwanza kwa mtu AMBAYE SI RAIA WA TANZANIA HANA HAKI YA KUMILIKI ARDHI. AKITAKA KUFANYA HIVYO INABIDI AENDE T.I.C. AMBAKO ATAPEEWA KITU KINACHOITWA DERIVATIVE RIGHT KWA AJIRI YA KUWEKEZA.

  MWEZI DECEMBER NILIPOKUWA ARUSHA LIKIZO, NILIONA JAMAA MMOJA MKENYA ANAMILIKI NYUMBA, NILIVYOFUATILIA NIKAKUTA ALIKUWA ANAFANYA KAZI YANA TYRE BAADAYE AKAACHA, ALIKUWA AKIISHI NCHINI KINYUME CHA SHERIA. NIKAENDA UAMIAJI IN PERSON WAKAMKAMATA, NA WAKAMPA MASAA 24 AWE HAYUPO NCHINI. KILICHOTOKEA MZEE KANYABWOYA, ALIUZA NYUMBA YAKE YA THAMANI KAMA 80 MILLION KWA 30 MILL TU.

  NASASA NAFANYA UPELELEZI BINAFSI KWA KUTUMIA MADALALI WA NYUMBA. WAKIONA NYANG'AU TU WANISTUE HALAFU TUWASHIKISHE ADABU.
  KWA HIYO NDUGU YANGU MALILA HAO NYANG'AU WANAOFAKAMIA ARDHI YETU PELEKA UHAMIAJI WASHIKE ADABU.
   
 18. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  By the way, mficha uchi hazai.

  Tunazidi kuwa wakiritimba kwa kila kitu na kuwa na miradi mingi tu ya kufanya upembuzi yakinifu usiofikia tamati. Ukiuliza barabara, kivuko, shirika lile n.k utaambiwa kuwa upembuzi yakinifu umeshafanyika ambapo BILIONI kadhaa zimetumika, sasa tunatafuta fedha kwa ajili ya ujenzi. Huku wala bila kunawa na kufuti a mikono yao kwenye nywele zao.

  Wazanzibar wamegundua hii janja na sasa wamahamua kuungana na kuwa na maslahi yao kama Wazanzibar kwanza na bila shaka watakwenda. Bila kuwa na changamoto, Watanganyika hatuwezi kwenda! Just imagin, waziri mwandamizi anasema kuwa nchi ya Tanzania haipigi hatua kimaendeleo kwa sababu ya kusupport ukombozi wa nchi nyingine Afrika, a business which was accomplished more than 25 year ago! na hao tuliowasaidia leo hata manyoya yao ya mkiani hatuwezi kuwashika kwa kasi yao! So, what? A president who says he don't know why is country is so poor, yet he still want to remain the President who doesn't know what he has to do to change the life of his people.

  Let Kenya make use of the opportunities, labda siku tutaamka tuone haya manyang'au yanakotupeleka. Just imagine, a president saying, the problem we face in privatization is that we don't have competent people to engage in contracts, which goes back that we don't have competent people leading this country, because of all mentioned above. Maybe we should privatize the presidential post; this could hasten the development of our country.
   
 19. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #19
  Apr 9, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  bwahahaha, you almost made me spit my drink on my monitor son, youz a funny dude son, serious, youz a clown right? on a serious note, Kenya has a right to build anything within its borders and there is nothing you folks can do except complain and cry on how much you wished we werent your neighbors, its a sad look. go back to school or you will stay being played to your last generation, THIS IS CHESS NOT CHEKERS, you gettin this two confused.
   
 20. N

  Nanu JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  These guys are never good neighbours but they are our neighbours. For every step they pursue, we need to be proactive to protect Tanzania land and its natural resources so that it can benefit Tanzanian Ecosystem.
   
Loading...