Kenya to build an International Airport at Taveta near KIA

Kia in natural death.
Currently there are only two international flights landing. Klm and ethiopian airline.
 
Bilioni 180 zitakazo jenga uwanja wa kimataifa wa Holili - Taveta ni sawa na zile tunazomlipa RA. Inauma sana. Kumbe tunaweza kujenga wenyewe hata bila fedha ya Wafadhili? Kujenga viwanja vya kimataifa tunahutaji fedha toka kwa Wafadhili, lakini kulipa tozo za kijingajinga tunyo fedha PAMBAFFFFFF!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nimeshtushwa sana na Habari toka kwenye Gazeti la Mwananchi "KIA airport is
likely to be die soon" Me nadhani we need a discussion kwa hili na jinsi ya
kuishauri Serikali yetu what can be done, mimi mwenyewe nimeutumia uwanja wa KIA
siku za usoni, hali yake sio nzuri in terms of Service Delivery na Management
kwa Ujumla, sasa kama Wenzetu watakuwa na uwanja bora na wa Kisasa wa Holili,
Taveta, I can see we are going to die,
 
Heshima kwako Mallaba,

Mkuu watawala wetu wako busy kuilipa Dowans
 
Ungeweka content ya hilo Gazeti hapa ili tujadili substance!...right?

Lakini kwa habari nilizosoma mimi ni kwamba KIA iko kwenye hatua za mwisho kuchukuliwa na Mamlaka ya serikali ya Uendeshaji viwanja-Tanzania Airports Authority, baada ya kufanikiwa ku'regain hisa zote 100%.
Reclamation hii inakuja baada ya mwekezaji binafsi aliyekuwa akiushikilia na kuuendesha uwanja huu-Kilimanjaro Airport Development Company [KADCO]kuchemsha vibaya na kuonekana wamekiuka masharti ya mkataba wa Uwekezaji.
Mategemeo yangu ni kwamba TAA wakishaumiliki uwanja huu watauinua na kuurudishia hali yake ya mwanzo, na hivyo utaweza kushindana kirahisi na huo wa Taveta.
 
Kia?

Kilimanjaro International Airport?

Kwa Wachaga? Wasiotaka utawala wa kifuska wa CCM? unategemea wataboreshewa airport? Sahau!!!

Mpango mzima ni kufanya Arusha kuwa base ya kwenda Mlima Kilimnajaro na kutembelea mbuga za wanyama. do you think polisi walikuwa hawajui walichokuwa wanafanya walipoua raia?

their campaign is to protect arusha by any cost because they know they lost Kilimanjaro to opposition.

changanganya na zako ndugu!!!
 
yaani NGONGO we acha tu , maana hii nchi inaonekana imeshakosa kabisa mwelekeo na priorities.
kila kitu kinafanyika kisiasa tu .
Heshima kwako Mallaba,

Mkuu watawala wetu wako busy kuilipa Dowans
 
Bilioni 180 zitakazo jenga uwanja wa kimataifa wa Holili - Taveta ni sawa na zile tunazomlipa RA. Inauma sana. Kumbe tunaweza kujenga wenyewe hata bila fedha ya Wafadhili? Kujenga viwanja vya kimataifa tunahutaji fedha toka kwa Wafadhili, lakini kulipa tozo za kijingajinga tunyo fedha PAMBAFFFFFF!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Roho inauma sana ukisikia bungeni waziri wa ujenzi akidai kuwa miradi ya barabra imekwama kwa sababu ya pesa....sasa hizi pesa za kulipa dowans zatoka wapi tena haraka hivi.

Wacha kujenga uwanja wa ndege tu hata hospitali pia.....serikali ya CCM inaangalia matumbo yao tu lakini maendeleo ya wananchi wake haijali kabisa....angalia ile sakata ya rada...zile pesa walizotupa kwa kununua rada wangeboresha bandari zetu leo TZ ingekuwa mbali sana angalia bandari ya MSA invyoingizia pesa za kigeni serikali ya Kenya angalia Beira sasa hivi inavyoingiza pesa za kigeni hata wa TZ wanaitumia bandari hiyo na sasa hivi Angola wanaboresha reli yao mpaka DRC kwa hiyo hata DRC watahamia huko bandari ya Luanda.

Sisi tunabaki twarudi nyuma tu viwanda tumeuza kwa bei ya sindano viongozi wanazidi kiburi....uliona wapi rais mzima anshindwa kukemea au japo kuongelea hata kidogo swala la Dowans na akijua wazi wananchi wanakerekwa? yeye ankwenda ati kufungua shule ya msingi.
 
J unamaanisha Ngwanangwa kuwa hawa jamaa wanafanya makusudi ili kulipiza kisasi? je kwa faida ya nani? Kilimanjaro, Arusha n.k ni wapi? sio Tanzania?
Kia?

Kilimanjaro International Airport?

Kwa Wachaga? Wasiotaka utawala wa kifuska wa CCM? unategemea wataboreshewa airport? Sahau!!!

Mpango mzima ni kufanya Arusha kuwa base ya kwenda Mlima Kilimnajaro na kutembelea mbuga za wanyama. do you think polisi walikuwa hawajui walichokuwa wanafanya walipoua raia?

their campaign is to protect arusha by any cost because they know they lost Kilimanjaro to opposition.

changanganya na zako ndugu!!!
 
Mkuu wala usistuke wenzetu Kenya wako serious katika mambo ya kiuchumi, hawa viongozi wetu wala usihangaike nao wapo kwa ajili yakuyalinda malahi yao tu. Ni wazi KIA inaelekea kubaya.

Juzi kuna jamaa yangu mtz amepata wageni toka Italy na waligoma kushukia KIA na nilipowauliza kwanini walinambia wanacheleweshwa sana KIA na usalama wa mali zao ni mdogo au haupo. Walinipa uzoefu wao mara nne walipopitia KIA waliibiwa na gharama za uwanjani ni balaa. Na kutoka uwanjani to Moshi au A town wana cheleweshwa. Shangaa walishukia JKIA na WAKAKODI gari to A town na Moshi wakisema ni rahisi kuliko kushikia KIA. Kweli? Kaaaaaaazi tunayo wabongo. Acha tuendelee na kupiga domo wakati wenzetu wako serious na kazi!
 
J e TAA itaweza kuliongoza kwa sasa? kwa nini walilibinafisisha ? Kuna viwanja vingi tu ambavyo vimekaaa kama viwanja vya wilaya wakati ni vya majiji mfano Mwanza n.k ..je wataweza kumdu ushindani wa wa Kenya ambao kwanza wanandege zinazosafiri karibu dunia nzima? sisi ndege mbali na nje ya Tanzania hata ndani ya Tanzania hatuna? wenzetu wanauwezo wa kutoka na watalii nje ya nchi direct hadi huko je sisi?
Ungeweka content ya hilo Gazeti hapa ili tujadili substance!...right?

Lakini kwa habari nilizosoma mimi ni kwamba KIA iko kwenye hatua za mwisho kuchukuliwa na Mamlaka ya serikali ya Uendeshaji viwanja-Tanzania Airports Authority, baada ya kufanikiwa ku'regain hisa zote 100%.
Reclamation hii inakuja baada ya mwekezaji binafsi aliyekuwa akiushikilia na kuuendesha uwanja huu-Kilimanjaro Airport Development Company [KADCO]kuchemsha vibaya na kuonekana wamekiuka masharti ya mkataba wa Uwekezaji.
Mategemeo yangu ni kwamba TAA wakishaumiliki uwanja huu watauinua na kuurudishia hali yake ya mwanzo, na hivyo utaweza kushindana kirahisi na huo wa Taveta.
 
Mkuu wala usistuke wenzetu Kenya wako serious katika mambo ya kiuchumi, hawa viongozi wetu wala usihangaike nao wapo kwa ajili yakuyalinda malahi yao tu. Ni wazi KIA inaelekea kubaya.

Juzi kuna jamaa yangu mtz amepata wageni toka Italy na waligoma kushukia KIA na nilipowauliza kwanini walinambia wanacheleweshwa sana KIA na usalama wa mali zao ni mdogo au haupo. Walinipa uzoefu wao mara nne walipopitia KIA waliibiwa na gharama za uwanjani ni balaa. Na kutoka uwanjani to Moshi au A town wana cheleweshwa. Shangaa walishukia JKIA na WAKAKODI gari to A town na Moshi wakisema ni rahisi kuliko kushikia KIA. Kweli? Kaaaaaaazi tunayo wabongo. Acha tuendelee na kupiga domo wakati wenzetu wako serious na kazi!
 
yaani NGONGO we acha tu , maana hii nchi inaonekana imeshakosa kabisa mwelekeo na priorities.
kila kitu kinafanyika kisiasa tu .
Jamani wandugu, siasa si mbaya ila nchi yetu ndo inaitumia siasa vibaya. Ukijaribu kuangalia siasa inatumika hapa kwetu kama kuhalalisha uongo uonekani kuwa ni kweli. Tujaribu kulinganisha nchi yetu na nchi zingine zilizoendelea. Haina maan kwamba wao hawana siasa. Wenzetu wanatumia siasa kuibua na kukosoa mambo mbalimbali. Ndo maana hapa kwetu mtu akianza kuongea saaana anafananishwa na mwana siasa. Kwa maana siasa hapa inafananishwa na kuwa na longolongo nyingi.
 
Tunapoongelea SIASA ndio hivyo inapofikia mambo ya mhimu hayatekelezwi na hao tuliowapa madaraka, hapo ndio kila mtu anaichuki siasa maana wote ni wanasiasa.
Wetu nchi zilizoendelea wanajitahidi sana kuheshimu sheria na kila kitu kinafanyika kulingana na matakwa ya wananchi, lakini je sisi? NI MATAKWA YAO NDIO MATOKEO YETU
Jamani wandugu, siasa si mbaya ila nchi yetu ndo inaitumia siasa vibaya. Ukijaribu kuangalia siasa inatumika hapa kwetu kama kuhalalisha uongo uonekani kuwa ni kweli. Tujaribu kulinganisha nchi yetu na nchi zingine zilizoendelea. Haina maan kwamba wao hawana siasa. Wenzetu wanatumia siasa kuibua na kukosoa mambo mbalimbali. Ndo maana hapa kwetu mtu akianza kuongea saaana anafananishwa na mwana siasa. Kwa maana siasa hapa inafananishwa na kuwa na longolongo nyingi.
 
KIA wapo juu kwa suala la kodi na huduma mbofu mbofuuuu itakuwa poa Kenya wakitengeneza manake itakuwa salama yetu watu wa karibu na ampakani manake Tanzania si hawahitaji hizo hela na hawajui umuhimu ya uwanja wa kimataifa.JK uko bize na dowans na kufungua shule za primary sasa uwanja na yeye wapi na wapi???? soon watatuibia na mlima kilimanjaro kabisa.
 
Back
Top Bottom