Wacha wivu,mdomo hii,Mnapenda kuzozana na Kenya kwasababu we not like you,you admire us such that you want to be like us and you can not,mpaka inabidi mchukie waKenya Bure😜🤑🇰🇪🔥🔥Lamba Lolo Bongolala
kenya kufanya ivo kilichopelekea ni Somalia kukata mirungi ya kenya eti wameagiza mirungi Ethiopia alafu wanataka tufumbe macho like nothing has happen, kama unarudisha uhusiano rudisha kila kitu sio tu kinachokunufaisha ww, good move by uhuru muigai kenyatta, hii dunia ni nipe nikupe.