Kenya sink Eritrea, set up Tanzania showdown in CECAFA U20 finals

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,401
Kenya sink Eritrea, set up Tanzania showdown in CECAFA U20 finals

Rising Stars in action against Tanzania in Jinja, Uganda on September 24, 2019. Photo/ Courtesy of FKF
The Kenya U20 national team will face Tanzania in the CECAFA U20 finals Saturday following a 1-0 win against Eritrea in the semi-finals on Wednesday at the FUFA Technical Center in Jinja, Uganda.

An own goal from Yosief Mebrahtu in 85th minute powered the Rising Stars into the finals setting up a grand finale with Tanzania who edged Sudan with a similar score line in the other last four clash.

Head coach Stanley Okumbi made three changes in his starting team handing Brian Wepo a starting berth after serving a one-match suspension in the quarterfinal against Burundi.

Benson Omala, who scored the winner against Burundi, was also brought in while Musa Masika shrugged off a groin injury to make the starting team.

Rising Stars are unbeaten in the tournament following a 5-0 rout against Zanzibar in their opening match, 2-2 draw with Tanzania and a resounding 4-0 win against Ethiopia in the last eight.
Brian Bwire, Brian Wepo, Bonface Mwangemi, Tom Teka, John Otieno, Fidel Origa, Alphonce Otieno, Patrick Otieno, Austin Odhiambo, Musa Masika, Benson Ochieng

Substitutes

Bixente Otieno, Alvin Ochieng, Joshua Nyatini, Chris Owino, Steve Otieno, Peter Oudu, Ronald Bebeto, Sydney Lokale, John Njuguna

"who edged Sudan with a similar score line in the other last four clash".

Waandishi wa habari wakenya huwa na ujinga, siku zote ni kujisifia na kushusha wengine. Sasa score line ya Tz Vs Sudan alishindwa kuipata au upuuzi tu. Au kwakua mlisaidiwa na goli la Eritrea kujifunga wenyewe dakika za mwishoni mkaona na Tz itakua hivyo hivyo. Hiyo Jumamosi mtapata tabu sana.
 
Hawa jamaa ninahisi wana laana ya kupenda sifa, soma hii article uone jinsi walivyo wajinga. Hapa wanasema KENYA ndio inaongoza kwa kupokea FDI, lakini angalia "figures" za Ethiopia na Kenya walizozitoa.
 
Hehehe!! Take some chill pill man, presha itakuponza, waandishi wenu wa habari full usingizi, mnasubiri msifiwe na waandishi wa Kenya...bure kabisa.
 
I always support you over many threads

However on this one hapana friend

You could have balanced your story to make it sensible.
 
Hawa jamaa ninahisi wana laana ya kupenda sifa, soma hii article uone jinsi walivyo wajinga. Hapa wanasema KENYA ndio inaongoza kwa kupokea FDI, lakini angalia "figures" za Ethiopia na Kenya walizozitoa.
Hiki kitu kimesha anza kuwa cost, media zao zinaonekana zinapiga propaganda tu. In today's world information is easily accessible, wanajichosha tu. Ata hiyo FDI ya Tz wameitoa mfukoni. 2018 FDI ilishuka ila bado ilikua kubwa kuliko ya Kenya. Nyerere hakukosea kuwa ita manyang'au.
Screenshot_20191003-111621.jpeg
 
Ni game ngumu, walishakutana wakatoka draw.
Kenya alianza kufunga Tz akachomoa wakafunga tena Kenya Tz tukachomoa ikaisha 2-2.
.
Sasa wanakutana tena final itakuwa mechi ngumu sana
Kipa aliwazawadia magoli, huyu kipa wa Ngorongoro anachomesha sana. Zuberi Katwila ameleta ujeuri tu wa kutomchukua Ramadhan Kabwili kisa alichelewa ku report kambini kwa kua alikua na majukumu mengine. Mbona Samatta daily anachelewa ila wanamuelewa. Hapo tulipo fika ni uzuri wa forward line ila golini pana mashaka sana.
 
Hawa jamaa ninahisi wana laana ya kupenda sifa, soma hii article uone jinsi walivyo wajinga. Hapa wanasema KENYA ndio inaongoza kwa kupokea FDI, lakini angalia "figures" za Ethiopia na Kenya walizozitoa.
Differentiate Eastern Africa na East Africa before coming to your conclusions.
 
"who edged Sudan with a similar score line in the other last four clash". Waandishi wa habari wakenya huwa na ujinga, siku zote ni kujisifia na kushusha wengine. Sasa score line ya Tz Vs Sudan alishindwa kuipata au upuuzi tu. Au kwakua mlisaidiwa na goli la Eritrea kujifunga wenyewe dakika za mwishoni mkaona na Tz itakua hivyo hivyo. Hiyo Jumamosi mtapata tabu sana.
Sikujua kwamba hii lugha inaweza ikakutatiza kiasi hicho. Mtu akisema .....'Tz, who edged out Sudan with a SIMILAR SCORELINE'... Wakati hapo awali alikuwa anaongea kuhusu ushindi wa 1-0, wa timu nyingine. Si hapo 'automatically' inamaanisha kwamba Tz waliwachapa Sudan 1-0 pia? Mna mazoea mabaya sana ya kulialia kwamba mnadhulumiwa kwenye kila jambo.
 
Hehehe!! Take some chill pill man, presha itakuponza, waandishi wenu wa habari full usingizi, mnasubiri msifiwe na waandishi wa Kenya...bure kabisa.
Hiyo article haina tatizo lolote, lugha ndio imewakanganya, kama kawa.
 
Sikujua kwamba hii lugha inaweza ikakutatiza kiasi hicho. Mtu akisema .....'Tz, who edged out Sudan with a SIMILAR SCORELINE'... Wakati hapo awali alikuwa anaongea kuhusu ushindi wa 1-0, wa timu nyingine. Si hapo 'automatically' inamaanisha kwamba Tz waliwachapa Sudan 1-0 pia? Mna mazoea mabaya sana ya kulialia kwamba mnadhulumiwa kwenye kila jambo.
Ina maana hao wanahabari wenu ni wa pumbavu kiasi cha kushindwa kujua kwamba Tanzania ilifunga Sudan 2-I na sio 1- 0 kama jinsi Kenya ilivyoifunga Eritria?, au 2-1 na 1-O ni "SIMILAR SCORE LINE?. Tukisema mpo na uwezo mdogo wa akili, mnadhani tunawadharau.
 
Ona sasa, score line maana yake ni nini, kwenye michuano ya kuchujana? Wao wenyewe wametaja wazi, edged out in the other 'last four clash', ambayo ni quaters. Score line za game ambazo zimeisha na matokeo ya 1-0 na 2-1 ni zipi? Si ni 1-0 na 1-0? Aisee, MK254 hufanyi haki na hii lugha ambayo imetumiwa kwenye taarifa yako.
 
Hawa jamaa ninahisi wana laana ya kupenda sifa, soma hii article uone jinsi walivyo wajinga. Hapa wanasema KENYA ndio inaongoza kwa kupokea FDI, lakini angalia "figures" za Ethiopia na Kenya walizozitoa.

Hii hapa

Nahisi alikosea kuendela kupika Data

EY Attractiveness Survey 2019 shows that Kenya was the biggest beneficiary of FDI in the region, attracting investments worth $2 billion that resulted in 16,000 new jobs in 2018.
Tanzania attracted investments worth $1 billion that saw the creation of 3,000 jobs, and FDI in Uganda resulted in 6,000 new jobs.
Ethiopia attracted investments worth $7 billion, creating 16,000 new jobs.
 
Back
Top Bottom