L004
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 200
- 204
Hivi karibuni google yawezesha watumiaji WA safaricom Kenya kufanya malipo ya kununua apps ndani ya play store Kwa kutumia M-pesa xpress payment
Iyo fursa imekuja hivi karibuni na hipo on developing kiasi kwamba option ya malipo ipo kwa baadhi ya watu
Je wewe waionaje him???
Iyo fursa imekuja hivi karibuni na hipo on developing kiasi kwamba option ya malipo ipo kwa baadhi ya watu
Je wewe waionaje him???