Kenya: Rais Uhuru Kenyatta afunga Shule zote nchini Kenya

Kenya: Rais Uhuru Kenyatta afunga Shule zote nchini Kenya

Takwimu rasmi hadi 18:00 Kenya na Rwanda @ 1 case, huenda wanaficha taarifa na takwimu, si kwa maamuzi haya mazito kufunga shule zote, na kazi muhimu za lazima pekee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii haikupaswa kuitwa BREAKING NEWS.

ilitabiriwa tu baada ya kuruhusiwa kutua ndege ya watu 239.

shukurani kwa wanasheria kupeleka hoja mahakamani wakishinikiza serikali kuwaweka karantini abiria wote japo nahisi walikuwa wameshachelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom