Kenya: Rais John Magufuli azua minong'ono

Mpaka tutakapo hakikisha kiswahili ni lugha ya dunia bado tunafanya harakati
 
View attachment 391109

Serikali ya Kenya imepuuza kutokuwapo kwa Rais wa Tanzania, John Magufuli wakati wa mkutano wa kimataifa uliomazika hivi karibuni nchini hapa.

Hilo limetokana na kuenea kwa minong'ono na wasiwasi miongoni mwa wakenya juu ya dhamira yake ya utangamano wa kikanda.

Wakenya wengi walitarajia Rais Magufuli kama Mwenyekiti wa Jumuiya ya Africa Mashariki na uwapo wa Japan kupitia mpango wake wa ushirikiano na maendeleo ya Africa (Ticad) angehudhuria mkutano huo.

Lakini Waziri wa mambo ya nje wa Kenya, Amina Mohamed, alipuuza madai hayo akisema Rais Magufuli alituma mwakilishi, Waziri Mkuu Kassim majaliwa.

"Si yeye pekee ambaye hakuhudhuria mkutano, kusema kweli aliwakilishwa vyema na hakuna haja ya kuhofia. Tanzania na Kenya zina uhusiano mzuri, tuache kujikita kuwa wabaya "alisema Waziri Amina Mohamed katika mahojiano kwa njia ya simu.

Tangu aingie madarakani Oktoba mwaka jana, Rais Magufuli ametembelea Uganda na Rwanda pekee.

Tofauti na mtangulizi wake Jakaya Kikwete ambaye alijulikana kwa kusafiri nje, Rais Magufuli amejikita katika masuala ya nyumbani, akimbambana na ufisadi katika utumishi wa umma.

Chanzo: Mtanzania
wambie wakenya tuna rais asiyeweza kuongea lugha za kimataifa
 
Majirani pia wameanza kutucheka Siku hizi
 
The man is so busy.
Kuna katuni wakenya wameonyesha anachokifanya nyumbani wakati hiyo mikutano ikiendelea huko majuu.
 
Hicho alichosema huyo jamaa kinauma lakini ndio ukweli wenyewe. Vumilia tu kwani ni mangapi yanayoudhi umeshakutana nayo mpaka sasa?
 
Duh, Magu huyu bodyguard wake inaonekana kazi anaiweza haswa. Cheki alivyokunja ndita. Hivi yule mwanamama aliyekuwa katika convoy ya magufuli wakati anaanza uongozi yupo wapi.?

KPwZL6N.jpg
Mhhh ndita zipi zimekunjwa na huyo jamaa Mkuu ?? Au wewe unaona visivyo onekana ?
 
View attachment 391109

Serikali ya Kenya imepuuza kutokuwapo kwa Rais wa Tanzania, John Magufuli wakati wa mkutano wa kimataifa uliomazika hivi karibuni nchini hapa.

Hilo limetokana na kuenea kwa minong'ono na wasiwasi miongoni mwa wakenya juu ya dhamira yake ya utangamano wa kikanda.

Wakenya wengi walitarajia Rais Magufuli kama Mwenyekiti wa Jumuiya ya Africa Mashariki na uwapo wa Japan kupitia mpango wake wa ushirikiano na maendeleo ya Africa (Ticad) angehudhuria mkutano huo.

Lakini Waziri wa mambo ya nje wa Kenya, Amina Mohamed, alipuuza madai hayo akisema Rais Magufuli alituma mwakilishi, Waziri Mkuu Kassim majaliwa.

"Si yeye pekee ambaye hakuhudhuria mkutano, kusema kweli aliwakilishwa vyema na hakuna haja ya kuhofia. Tanzania na Kenya zina uhusiano mzuri, tuache kujikita kuwa wabaya "alisema Waziri Amina Mohamed katika mahojiano kwa njia ya simu.

Tangu aingie madarakani Oktoba mwaka jana, Rais Magufuli ametembelea Uganda na Rwanda pekee.

Tofauti na mtangulizi wake Jakaya Kikwete ambaye alijulikana kwa kusafiri nje, Rais Magufuli amejikita katika masuala ya nyumbani, akimbambana na ufisadi katika utumishi wa umma.

Chanzo: Mtanzania

Magufuli anataka urafiki wake na Raila Odinga uharibu uhusiano na Kenya.

Ndiyo ujinga unaoendelea hapa.
 
kwi kwi kwi kwi eti Rwanda Na Uganda hapa alienda kuchukua mafunzo ya utawala wa chuma magu bhana nchi za kidemokrasia kama kenya hana mpango nao
 
Back
Top Bottom