Kenya: Rais John Magufuli azua minong'ono

Kenya: Rais John Magufuli azua minong'ono

Ambao hawakuwepo ni Nkurunzinza, Magu, Salva.
 
We chochea tu, hivi unaifahamu jela ya wanawake??
Hata kituo cha polisi sijawahi kanyaga,nini jela?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hiyo Avatar yako hunivunja mbavu sana.
 
Kusingekuwa na haja ya kuwa na Rais basi.
KIKWETE alihudhuria mikutano mkasema anakimbia nchi...

Sio lazma kila mkutano wa kimataifa aende Rais... Urais ni taasisi... ana wasaidizi wake
 
Watanzania acheni majungu,angekua ana safari sana mngeanza kumsema pia hamna jema nyie.
 
Hawa wakenya ni wa kupuuza kabisa, si walikuwa na mpango wa kututenga! Sasa nani kawabembeleza! Tufanye mengine lakini tuwe makini na hawa majirani zetu, sio wema, hata Wanyarwanda nao sio wema kabisa. Namshangaa mukuru anakuwa karibu nao kwa kiasi kikubwa namna hiyo!
 
Nakumbuka nikiwa mdogo dadayangu alikuja na watoto wake age yangu alio wapata huko ugaibuni....ilibidin nikimbie nyumban ...maana wote walikuwa wanajuwa lugha
Unajua maana ya neno hilo nililolibold?
 
Aliyetuwakilisha ni bora zaidi kuliko angekwenda

kiukweli kwenye Diplomasia kemcho nehi.
 
Ataongea nini jamani hajui diplomasia wala ngeli kusoma akiandikiwa hawezi.....alinipigia broken ya mwaka pale Rwanda huwezi amini!! Yaani aibu tupu

Makamanda bana...sijui sera yenu kwa sasa ni ipi
 
''Wazungu wanasema you can't give what you can't have''

Hayo maneno ya mkuu wa kaya mkutano mkuu wa chama uliopita
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi sitokaa nisahau "I don't have much to speak".
na hapo pia alikuwa eti mkalimani wao. Walipomaliza tu hule mkutano wakawaaga wanachato bye bye na yeye akawatafsiria nunua nunua
 
na hapo pia alikuwa eti mkalimani wao. Walipomaliza tu hule mkutano wakawaaga wanachato bye bye na yeye akawatafsiria nunua nunua
Ninayoisemea mimi ni ile siku waliyokuja Wajapan sijui watu gani wale.
Mkutano ulifanyika ikulu ukarushwa live TBC 1.
Kumbe alitoa boko tena Chato?Noma sana.
 
Back
Top Bottom