Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Mwanaume aliyechanganyikiwa akili (mwehu), amevamia kanisani wakati misa ikiendelea na kumpiga padri kisha kupora biblia.
Video ya tukio hilo imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ambapo taarifa zinaeleza kuwa limetokea Kisumu nchini Kenya katika kanisa moja la Kikatoliki.