Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kumekuwa na maneno na article nyingi hivi karibuni kuhusu kusinyaa kwa nchi ya Kenya kiuchumi na kisiasa kwenye eneo hili la AM, jambo ambalo wengi wanalisahahu ni kwamba siyo kwamba Kenya inasinyaa bali Kenya kama nchi nyingine za Kiafrika inamalizia cycle ya kubomoa kile ambacho Wazungu walikiacha ktk kwa Ukoloni wkt kwa nchi kama yetu ya TZ hili lilitokea mapema sana kwa maana Wazungu hawakuacha influence kubwa sana kama walivyoacha nchini Kenya au Zimbabwe hivyo Wakenya kama walivyo Waafrika wengine tangia siku ya kwanza tulipokadhiwa huu tunaouita Uhuru tulianza kubomoa kile kilichokuwepo sasa wengine tulibomoa na kukamilisha cycle mapema na kuanza upya kujenga vyetu wakati Kenya na wengine kama vile Zimbabwe au AK wamechelewa kukamilisha cycle kulingana na ukubwa wa kile Wazungu walichokiacha!
Sasa nchi ya Kenya inaingia phase ambayo sisi TZ tuliiingia miaka ya 80' na ni lazima wakamilishe hiyo cycle ya kubomoa ndio waanze kujenga jamii mpya na hiyo itauma sana na bahati mbaya zaidi hili linatokea wakati mbaya na wa hatari sana!
Sisi tumeshatoka huko na sasa tumeshajitambua na tumeanza kukua!