Kenya mnafanya SIM reg.?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,619
21,363
Kenya nakuja kesho kutwa na moja ya vitu muhimu natakiwa niwe kwa hewa atleast kila dakika.
Qns
Hivi Kenya kuna utaratibu wa kusajili sim cards?,kama ipo kwa mTz nahitaji docs/IDs gn ili kusajili?
wenu ktk ujenzi wa EAC
MS
 
Ni lazma ujisajili sim.
As a foreigner, all youd require to regiater your simcard include:

(a) Original Work Permit Identification Card;
(b) Original Passport
(c) Original Alien Card.
(d) Original National Identity Card issued by parent country
(e) A valid Driving Licence
 
Sim card kenya ni bure,hamna gharama?
 
MSAGA SUMU all you need is your passport, kama unapitia JKIA utapata huduma zote hapo hapo, kama unaenda kwa bus ni vyema ukasubiri hadi mji unaoenda ukasajili na kupewa maelezo mazuri ya offer.
 
Kuna haja EAC kuanzisha utaratibu wa kutobadili SIM cards ukiwa ndani ya region!

Kuna kipindi nakumbuka ulikuwa ukienda Uganda line ya Airtel haikuwa lazima kubadili, Vodacom Tanzania, safaricom Kenya na MTN uganda nao walikuwa na huo mpango sijui uliishia wapi!
 
Kama unalaini ya Vodacom nenda bila shida yeyote
Pia Ukiona shida Hotel zina huduma zote hizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom