Kenya: Mchungaji awapachika mimba wasichana 20

Kenya: Mchungaji awapachika mimba wasichana 20

Status
Not open for further replies.

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,276
1470065468808.jpg
Mchungaji mmoja nchini Kenya amewapachika mimba wasichana 20.

Mchungaji huyo amesema hiyo ni Baraka amewasambaza wanadada hao.

Chanzo :CRI kiswahili
 
Duu kafaidi sana asee wote hao kawananihii[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
View attachment 374505Mchungaji mmoja nchini Kenya amewapachika mimba wasichana 20.

Mchungaji huyo amesema hiyo ni Baraka amewasambaza wanadada hao.

Chanzo :CRI kiswahili

Hao ni wasichana au wamama??..mchungaji kawadunga mimba wamama sio wasichana..ubarikiwe baba mchungaji uwezo wako tumeuona!
 
Wachungaji nao wanapenda papuchi, hili wala siyo siri.
 
Mchungaji wa nini? Kondoo, mbuzi, ng'ombe, mifungo!
 
na hapo ccm wanatafuta nini? au mchungaji ni kada?!
 
mchungaji anajilia kondoo wake sioni hasara hapo
 
😀 hahahaha..... mchungaji anaona mbali sana!!!anajihakikishia waumini wa kudumu miaka 20 ijayo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom