Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,660
- 46,348
Kenya inakabiliwa na hali ngumu ya kiuchumi baada ya madeni yake mengi na makubwa iliyokopa nje kwa miongo kadhaa ya karibuni kuiva kwa kasi. Inakadiriwa kila wiki Kenya inatakiwa kufanya malipo ya bilioni 50 shillingi za Kenya kwa madeni yaliova na yanaoendelea kuiva. Hizi ni pesa nyingi sana.
Hivi karibuni pia Kenya ilechelewesha sana malipo ya mishahara kwa wafanyakazi wa serikali hali inayosemekana ilichangiwa pakubwa na malipo ya madeni nje ya nchi.
Wahenga wanatukumbusha "Mwenzako akinyolewa zako tia maji"