Sasa Mbona huzungumzii hili tatizo lilitangazwa na media Badala yake unasifia media?, hata Sisi tunapongeza hizo media, Ila kwasasa "the main subject" ni watu wanaokufa kwa njaa huko Kenya, Mbona Inaonekana serikali ya Kenya mumeshindwa kabisa kutatua hili tatizo, kwasababu kila mwaka lazima Wakenya wanakufa kwa ajili ya njaa, tafadhali tuambieni tatizo liko wapi?, Mbona mnasema uchumi wenu ni mkubwa, vipi kila mwaka watu wenu wanakufa kwa njaa?hushangai watoto kula kinyesi na watu kula albino...endeleeni kuwa kwenye denial..hku sisi media zipo huru...yani km ni njaa imetokea eneo flani kenya vitu vinapeperushwa hewani...hela zikiibwa media hufuatilia kw kina yanaojiri...hamna cha mtu kuhojiwa au kutuhumiwa anataka kuvuruga amani yanchi...
SAFI SANA MEDIA ZA KENYA...ENDELEENI KUTOA TAARIFA ZA KUHUSU TAIFA LETU ANAGALAU SERIKALI ITAFAKARI NI WAPI WANAFELI NA KUPATA KUWASAIDIA WAHANGA WA TURKANA...
Ninaomba unipe reliable source iliyoripoti kwamba kuna watoto waliokula kinyesi, tafadhali weka reliable source husasn main stream media zilizoripiti hiyo habari.joto la jiwe...si nyinyi ndio wale mnaosema mnazalisha chakula kinigi ea...hebu tuambieni kwnn watoti wale kinyesi na kutelekeza chakula...kwnn watu wale albino na kuwacha chakula...ukinijibu hapo ndio sasa tutaelewana....
inauma sana nyumbani kuna chakula ila watoto wanakula kinyesi hku wengi wakila albino...inauma sana walai
Serikali yetu ndio ina ujinga. Ukianzia president na Raila na Ruto. Ni watu wanaojijali ila hawajali raia. Hapa Kenya usipojitafutia chakula yako utakufa njaa. Hata U.S kuna watu hawana chakula lakini serikali ya huko inawapa chakula yaani food stumps. Wengine wetu tumelalamika kwa miaka kadhaa sasa kuhusu Turkana na Baringo lakini serikali hili corrupt halisikii la mwadhini wala la mteka maji msikitini. Wengine wetu hatuna la ziada ila kuangalia tu maaana wengine wetu hatuna uwezo wa kufanya lolote.Sasa Mbona huzungumzii hili tatizo lilitangazwa na media Badala yake unasifia media?, hata Sisi tunapongeza hizo media, Ila kwasasa "the main subject" ni watu wanaokufa kwa njaa huko Kenya, Mbona Inaonekana serikali ya Kenya mumeshindwa kabisa kutatua hili tatizo, kwasababu kila mwaka lazima Wakenya wanakufa kwa ajili ya njaa, tafadhali tuambieni tatizo liko wapi?, Mbona mnasema uchumi wenu ni mkubwa, vipi kila mwaka watu wenu wanakufa kwa njaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliskia ziwa turkana ni fresh water lake. Hivi serikali haiwezi tumia akili hapa ili kukumbana na hili baa la njaa?Serikali yetu ndio ina ujinga. Ukianzia president na Raila na Ruto. Ni watu wanaojijali ila hawajali raia. Hapa Kenya usipojitafutia chakula yako utakufa njaa. Hata U.S kuna watu hawana chakula lakini serikali ya huko inawapa chakula yaani food stumps. Wengine wetu tumelalamika kwa miaka kadhaa sasa kuhusu Turkana na Baringo lakini serikali hili corrupt halisikii la mwadhini wala la mteka maji msikitini. Wengine wetu hatuna la ziada ila kuangalia tu maaana wengine wetu hatuna uwezo wa kufanya lolote.
Wewe ni miongoni mwa Wakenya wachache sana ambao vichwa vyenu havijaathiriwa na Ukabila Wala rushwa, una bahati mbaya sana umejikuta umezaliwa katika nchi ambayo 95% ya raia wake wameathiriwa na tribalism and corruption, pole Sana.Serikali yetu ndio ina ujinga. Ukianzia president na Raila na Ruto. Ni watu wanaojijali ila hawajali raia. Hapa Kenya usipojitafutia chakula yako utakufa njaa. Hata U.S kuna watu hawana chakula lakini serikali ya huko inawapa chakula yaani food stumps. Wengine wetu tumelalamika kwa miaka kadhaa sasa kuhusu Turkana na Baringo lakini serikali hili corrupt halisikii la mwadhini wala la mteka maji msikitini. Wengine wetu hatuna la ziada ila kuangalia tu maaana wengine wetu hatuna uwezo wa kufanya lolote.
Hii ni 2017 sio?, sasa hivi watu wanakufa Turkana, Wewe unatuletea data za 2017, tena za watu waliokua na njaa sio vifoSurvey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials
Yes, at least we don't denie there is hunger in Kenya....
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials | Reuters