Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,790
- Thread starter
- #21
ttzo ni uhuru wa tume lawama ktk dunia hii huwez kuziondoa
Lakini lawama ni zile zile kama za Tume iliyokuwepo mwanzoni, sasa kuna haja gani ya kubadilisha? Kama lawama zingekuwa zimebadilila hapo ni sawa lkn Wapinzani Kenya wanalalamika kuibiwa kura na Tume ya Uchaguzi na hapo awali walilalamika pia kuibiwa kura na Tume ya Uchaguzi na wakasema sababu ni kwamba Mkuu wa Tume anateuliwa na Raisi wakabadilisha na Mkuu wa Upinzani Raila Odinga akiwa Makamu wa Raisi akashiriki kuunda Tume aliyoiita huru, uchaguzi ukafanyika akashindwa, anasema Tume imemuibia kura, sasa kwa nini aliibadilisha na kuiita huru?