Kenya kinara wa kukopa toka China

kenya ni number 5 kwa list na ndiyo tu umeona???
hata nilidhani sisi ndiyo wa kwanza
 
kenya ni number 5 kwa list na ndiyo tu umeona???
hata nilidhani sisi ndiyo wa kwanza
Kinara ndani ya EAC ww unakwama wapi ? Think global act local. Ila kukopa sio keai hata state wanamikopo ..swala ni je mkopo unaufanyia nn ? Iv ile mliyo muomba msaada mjengewe train kwenda JKIA na rais wa france pia ni mkopo au msaada ule?
 
Back
Top Bottom