Kenya is going cashless

Kenya is going cashless

Kenya inakuwa kwa kasi jamii isiyotumia pesa taslimu. Kuanzia kulipa nauli ya matatu hadi kununua mboga kwa mama mboga au karanga kwa muuza wa barabarani, malipo mengi sasa yanafanyika kupitia M-Pesa
 
Kibongo bongo fee zinaumiza sana..
Mi toka nimeanza kutumia Selcom nimeacha kabisa kulipa cash, hawa jamaa wana bando la mwezi , unalipa 10500, miamala bure mwezi mzima!

Nimejikuta naokoa hela nyingi na hakuna tena usumbufu wa chenji!
Safaricom Kenya na Vodacom Tanzania ni kampuni moja kwa nini hawawezi kufanya Tanzania kama walivyoweza kufanya Kenya?
 
Kenya inakuwa kwa kasi jamii isiyotumia pesa taslimu. Kuanzia kulipa nauli ya matatu hadi kununua mboga kwa mama mboga au karanga kwa muuza wa barabarani, malipo mengi sasa yanafanyika kupitia M-Pesa
Hilo linafaida gani kwa mtu wakawaida mkuu, nilidhani utaelezea faida zake ilituweze kusama ni maendeleo, ila mimi najua cash economy ni nzuri kiliko credit economy.
 
nimetizama reply ngingi za vijana wanavyoizungumzia kenya nafikiri vijana wa tanzania wanachangamoto ya kutokutoka nje ya tanzania hivyo kuwa weupe sana juu ya mataifa mengine yanayowazunguka ukiachilia mbali ughabuni ukilinganisha na TANZANIA nchi ya maziwa na asali
 
Hilo linafaida gani kwa mtu wakawaida mkuu, nilidhani utaelezea faida zake ilituweze kusama ni maendeleo, ila mimi najua cash economy ni nzuri kiliko credit economy.
Sio credit economy, ni cashless economy. Faida mojawapo kubwa ni inawawezesha wafanyabiashara wadogo na watoa huduma ndogo ndogo kuweza kukopa kirahisi, kwa haraka na kwa masharti rahisi ya dhamana, faida nyingine inaondosha usumbufu wa chenji.
 
Back
Top Bottom