luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Kenya imetangaza watalii hawatakwenda karantini watakapo tua nchini humo. Ila zuio hilo la kutokwenda karantini linawahusu watalii wazungu tu watakao ingia kenya. Kufuatia kile kinacho itwa JUHUDI ZA KUPAMBANA NA CORONA mnamo machi 20,2020 nchii hiyo ilifunga anga lake na kutoruhusu wageni nje ya mipaka ya nchii hiyo kuingia kenya . kitendo cha kuondoa marufuku ya kwenda karantini kwa watalii wazungu kimechukuliwa kama ni kukosa msimamo kwa sababu ili hali mzungu hatokwenda karantini ila mzawa wa kenya atakaye ingia kenya toka ng'ambo ni lazima aende karantini kwa muda wa siku 14 kabla ya kujumuika uraiani. Kitendo hiki kimewakera raia wa kenya wanao ishi ughaibuni