Kenya has surpassed South Africa as Africa’s top avocado exporter

Most of our land upcountry imejaa coffee,macadamia and mangoes,ill start by 100 trees then next will scale it up pole pole

You can alternatively focus on an other thing that doesn’t need much land,
For avocado farming you need more land ili uone impact, 10 acres at the beginning, atleast you do 3 acres per year consecutively ili zisitofautiane sana. Kisha tunza vizuri
 
"Exporter" This is an activity done by any logistic company. Kwa mfano hapa Tanzania TRH logistics ina handle copper from Zambia to China....does that make Tanzania the leading copper exporter in Africa?
Let's be smart sometimes
 
Nimeanza kutafiti ukulima wa parachichi maana ndio mpango mzima yaani....
Shukrani sana kwa ambao wanafanikisha soko lake....
Wambie ukweli hai jamaa zako huko nyeri waje Iringa na njombe waone mzigo unavosepa India na UAE ndo walete swaga zao
 
Wambie ukweli hai jamaa zako huko nyeri waje Iringa na njombe waone mzigo unavosepa India na UAE ndo walete swaga zao

Hawana haja kuja huko maana Kenya sasa hivi imeipiku Afrika Kusini kwenye ukuzaji na uuzaji wa parachichi, na ndio kiongozi Afrika yote. Akili mtu wangu akili!!!!
 
Ni suala la mda tu mzee tutawapiku amini usiamini zao pekee mnaloweza kutuletea ushindani ni chai tuu
Hawana haja kuja huko maana Kenya sasa hivi imeipiku Afrika Kusini kwenye ukuzaji na uuzaji wa parachichi, na ndio kiongozi Afrika yote. Akili mtu wangu akili!!!!
 
Back
Top Bottom