RUGAHIMBILA E R
Member
- Mar 5, 2009
- 95
- 32
Foxy hili la Marekani kutaka waafrika wauwane kwa kuchochea vita linatia shaka. Ukweli sisi wenyewe tunauwana kila kukicha kwa ufisadi ambao unakosesha mamilioni lishe bora,huduma za afya,elimu etc
vita ........! lo......!
vita katikati ya matatizo lukuki.
KENYA MTAWEZA?
TUULIZ WATZ ILE YA IDAMIN BADO TU TUNALIA
Hapo sijakuelewa nani anamdai nani?.Out of the debt of 14 trillion USD, China anaidai US only 1.5 trillion. Sasa iweje wenye kuidai US sehemu kubwa ya deni wasipige kelele sana kuliko China?
Russia alipoivamia Georgia baada ya South Osertia kuvamiwa hatukuona hizo theory zisizo na kichwa wala miguu na watu mlikaa kimya hapa. Nahisi watu mna gundu na US kuwa kila anachokifanya basi mtaanza kuja na theories zenu za ajabu ajabu.
Al shababu ni mzigo na matatizo kwa Africa na dunia. Big up Kenya na Kibaki, mkiweza twanga risasi yeyote atakaekaa mbele yenu huko Somalia awe raia ama hao majangili wa kisomali na Kenya wakiweza waitwae Somalia yootee iwe part of Republic of Kenya on a permanent basis
Ami, dua la kuku halimpati mwewe, wahenga walishasema!...na mimi naomba dua ifuatayo:...
Watu wngine wana vifuu vya nazi juu ya mabega yao that pass off as heads.
I dont understand this comment and I really abhor its contents.
Kama Tanzania tulivoingiliwa na Nduli Idi Amin, Kenya wana haki kabisa kujitetea na hata kutumiambinu zozote kulinda heshima ya nchi yao.
Ni upuuzi kufikiria otherwise.
Yaani Kenya wanaenda kupigana na Al shabaab na vifaa kama hivi vya kivita? Wanacheza ngoma wasiyoijua! Tom and Jerry catoon.Hii ni Tathmini nzuri
Hata US na NATO wanalijua hilo kutokana na vita yao huko Afghanistan dhidi ya Al qaeda na Taliban ambao ni marafiki zao.
Mkuu
Wewe ni mmoja wa wanaoamini 911 ni kazi ya Al qaeda?
Unaamini Passport ya gaidi wa kisaudia iliokotwa mtaani karibu na tukio la 911, 9/11 Hijackers Passports Found at the WTC World Trade Center - YouTube lakini hakuna mabaki ya ndege wala miili ya binadamu?
Kifuu cha nazi ni afadhali.
Vita ya Uganda haikuwa ya lazima, mwalimu aliamua kumfanyia favor Obote tu na ndio moja ya sababu Tanzania ilitumbukia katika dimbwi la umaskini.
Ami, dua la kuku halimpati mwewe, wahenga walishasema!
Ingekuwa mambo yamekaa kihivyo dunia hii ingelikuwa murua. Lakini sidhani kama hii stetimenti ina ukweli ndani yake. Kuna watu kibao wanadhulumiwa kila kukicha na dua zao hazisaidii kitu, wadhalimu wao ndo kwanza wanazidi kupeta/kutanua!Wewe unajidanganya kwamba mimi ni kuku na Marekani ndiye mwewe.Naomba uelewe mafunzo ya kiroho kutoka kwa muumba wa ulimwengu ya kwamba DUA YA MWENYE KUDHULUMIWA HAIRUDI.Maana yake ni kuwa aliyedhulumiwa akimuelekea muumba dua yake daima hutakabaliwa.Usishughulishwa na ufupi au urefu wa muda dua itakapojibiwa.
That's what's Up. Now, Take Southern Somalia and Convert it to A Territory!!!Kick out the terrorist Muslims and Build Infrastructure!! God bless Kenya. Terrorists muslims/islam has become headache for the non muslim world.
I now have adimration for THAT Kenyan resolve , not to be pushed around by gangs Al Sabab bandits.well not sure if its a war... but its about gotdamn time we did something about Somalia.
Ingekuwa mambo yamekaa kihivyo dunia hii ingelikuwa murua. Lakini sidhani kama hii stetimenti ina ukweli ndani yake. Kuna watu kibao wanadhulumiwa kila kukicha na dua zao hazisaidii kitu, wadhalimu wao ndo kwanza wanazidi kupeta/kutanua!